Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,931
- 218,731
Hili jambo linafanywa na Paulo Makonda ambaye ni RC wa Dar es Salaam .
Katika orodha yake ya Watumiaji na wauzaji wa Madawa ya kulevya aliyoitoa kwa vyombo vya habari , jina la Ndugu Majizo lilikuwemo , haifahamiki kilichotokea lakini leo hii mtoa tuhuma hizo ndio anasimamia ndoa ya mtuhumiwa ! Kulikoni ?
Hivi mtu huyu anaweza kuaminika katika jambo gani lingine ?
Kuna haja ya Mamlaka ya uteuzi kupitia kwa makini sana wateule wake , hii kitu wenye akili wote wanashangaa ! Ukiacha tu uozo huu lakini lingine ni hili , Tangu lini majukumu ya RC ikawa ni kuratibu na kuandaa ndoa za watu kiasi cha kujipa uenyekiti wa kamati ya maandalizi ?