Hivi unaposhikwa na kiu baada ya kazi ni kinywaji gani kinakujia akilini mwako

Hapa kweli kinazungumziwa kinywa hiki hiki au unatuchimba we binti...
unajua kuna viu vya aina nyingi aisee.... lol
 
Maji ya moto katika Mug,kijiko kikubwa 1 cha asali na limao 1 ambalo nitakua nimelikatakata vipande. Nikimaliza mzunguko wa kwanza narudia hata mara 3. Baada ya hapo nasikia ubongo umejirifreshi kabisa
 
Nestia kinywaji tam sana naipenda nikiwa nimechoka,nikinywa yaani nasikia burudani,ila bongo sijawahi ona.
 
Baada ya kazi kila mtu anatamani kupata wasaa wa kujipumzisha nakutuliza akili, lakini hiyo huambatana na kiu kali ya kinywaji mtu akipendacho, hapa sizungumzii maji, bali nazungumzia vinywaji vyenye kuburudisha na kuchangamsha akili.

Hebu leo tuambizane hapa ni kinywaji gani unaposhikwa na kiu cha namna hiyo hukujia akili?

Nitaorodhesha vinywaji vichache, lakini nitaanza na mimi mwenyewe kwa kueleza kinywaji nikipendacho:

UKWAJU.jpg


datesdeglett.jpg


Miye napenda sana juisi ya Tende au ya Ukwaju

11%20_JTA0216_DxO2%20four%20beer%20types%20WEB2.jpg


Kuna wale wa Beer

2010s%20Most%20Popular%20Alcoholic%20Drinks.jpg


Kuna wale wa Mitulinga

soda.jpg


Kuna wale wa soda soda

Drinks-4.jpg


Kuna wale wa koktail

261809_2151170017331_1188807127_2633572_4673158_n.jpg


Kuna wale wa Mbege nk.

Je wenzangu, nyie mnajituliza na kinywaji gani nyakati za jioni?

CC:

[SIZE=2 [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=9760"]Asprin[/URL], Kaizer, Ruttashobolwa, Arushaone, Erickb52, Filipo, LiverpoolFC, marejesho, Preta, KOKUTONA, Madame B, cacico, snowhite, jouneGwalu, Jiwe Linaloishi, Nyani Ngabu, Bujibuji, lara 1, Heaven on Earth, Munkari, MankaM, miss chagga, miss neddy, utafiti, Mndengereko, ayanda, Tyta, farkhina, Asprin
[/SIZE]
Castle lager 2 za moto.
 
Back
Top Bottom