Sitakagi kugombana na watu. Mimi nilitaka tueleweshane tu. Unaanza madharau na kujifanya. Halafu mada zako ni very questionable. Kuna hii mada ulisema unataka ujiue mwaka jana sababu mume wako amekuacha. Kweli mwanamke unayesema umefanikiwa sana katika biashara unataka kujiua sababu ya mume? Usifute hio mada tafadhali. Ili watu wakujue zaidi
Mume wangu kaniacha kisa nimemtukania mama yake, nataka kujiua Nipeni ushauri
Nilijikuta tu si unajua mdomo kuteleza jamani Mama mkwe kaja kanikuta nadeki bila hata kuomba dekio afute miguu au hata avue viatu ndio aingie ndani, yeye akapita vile vile na maviatu yenye matope. Namuuliza "mama mbona unachafua wakati unaona nadeki na hapajakauka"? akanijibu "ndio kazi...www.jamiiforums.com
View attachment 1335052
View attachment 1335055
View attachment 1335056
View attachment 1335057
View attachment 1335058
Nilianza kwa uzuri kabisa. Mleta mada ndio kaanza dharau. Fuatilia mada tokea mwanzo utaona. Hakuna mtu anapenda mafanikio ya wengine kama mimi. Shida watu wanapenda kuambiwa maneno matamu tu. Mfano, kuambiwa utafanikiwa kwa kutumia akili kidogo sana. Kwenye biashara hakuna kutumia akili kidogo. Kama ingekuwa rahisi, kungekuwa na Reginald Mengi kibao Tz.Nilichogundua ni kuwa wewe una wivu mbaya sana na pia ni mchoyo wa maendelelo. Na pia moyo wako hupendi kuona watu wengine wakifanikiwa.
Mleta mada yeye kajaribu kushirikisha watu wengine mawazo mbalimbali ya kijasiriamali ila wewe unaanza kumponda na kumdharau, huku ukianza kujisifia, badala ya na wewe kuongezea uzoefu wako na mawazo katika biashara alizozitaja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaziona hizi paving Blocks hapa chini mkuu