Hivi unajua unaweza kutumia akili kidogo tu ukapata pesa nyingi?

October man,
Asante ndugu kwa mchango wako. Ndio lilikuwa dhumuni langu kwamba tujadiliane pamoja tupate suluhisho ya hizo challenges nilizozitaja. Ndio maana ya mjadala kwa forum kama hii ya JF. Penye wengi hapaharibiki kitu. Tatizo ni kwamba mtoa mada alinizima tu sababu yeye aliona points zangu hazina maana.
 
Inauzwaje hii mkuu
Used inauzwa laki 5 - Laki 7 (hamna bei maalum kwa used)

Mpya zipo tofauti kuna ya 1.5M, 2M kuendelea maana nazo ziko nyingi

kama umeshawahi kuona barabara za lami zikiwa zinaandaliwa kabla ya Lami kuwekwa

Kuna limashine(gari) flani linapitaga kushndlia lina vibrate hilo nalo kazi yake ni kama hii tu

sasa sisi hatutaki hayo makubwa,dogo tu linatosha ambapo ukipata zako ya beei hizo inatosha kabisa.
 
CONTROLA, Dah mkuu inauzwa bei gani?inatumia umeme au petrol

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama zilivyo mashine nyingine mkuu,kuna zaa petrol na diesel

Bei za haya mavitu used huanzia laki 5 - 7 (hamnaga official bei ya kitu used)

mpya zipo za 1.5M,2M mpk 2.5 na zinaendelea kwa ukubwa ziko nyingi sana

Na bei inaenda ikipanda mpk zipo za mamilioni huko
 
Mtoa mada dhumuni lake ni kuwapa idea wale waajiliwa wasio na muda ambao sikuzote wanapoteza pesa kwwnye miradi wanayoanzisha sasa ulitakiwa ukitoa KASORO ulete SOLUTION kwamba wafanye nini.

Unajua rahisi kusema hichi hakifai ila ukiambiwa aya lete kinachofaa wewe unashindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

👊👊
 
Back
Top Bottom