Hivi umeshtukia.......

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,925
31,850
Huko instagram,

unakuta mtu anakutaka friend request,

humjui na hayuko kwenye list ya friends zako,

na wengine wanaenda mbali,wanaweka mapicha ya wahindi,au ma actors

shtuka ni li EX lako linataka kukufuatilia tu kama umemove on lol:p:p:p:p:(
 
Pole sana mkuu.linataka kupasha kiporo.angalia lisikubaahite
 
Ni kijiji cha wapi au mtaa gani? Wananchi wa huko wanatabia gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom