Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,599
Ni kijana wetu kwahiyo tumuangalie maana Half american ame mtelekeza kwanguAaah sawa sawa[emoji1]
Ni kijana wetu kwahiyo tumuangalie maana Half american ame mtelekeza kwanguAaah sawa sawa[emoji1]
ulikua wakati mgumu sana ule kwetu sote....Kwahiyo unajisifu 😂😂
[emoji23][emoji23]nilimuibia demu kijana tuakaingia kwenye kipindi kirefu cha uadui sema tukaja kupotezeana au sio Johnnie Walker
Awe vamdala😅🤣🤣🤣 hayo ni baadhi tu
Bado sijasumbuliwa kwani utanisumbua?😀😀😀Tunawasumbua kumbe eeh
wa bas kausha mbona unaongea sanapulikua wakati mgumu sana ule kwetu sote....
yule mwanamke asingeweza kuharibu urafiki wetu wa muda mrefu....S
wa bas kausha mbona unaongea sanap
Imagine mtu anaangalia movie huko, then anataka aje akusimulie yooote. Sasa ole wako uchoke kumsikiliza 😅😀😀😀Tunawasumbua kumbe eeh
Ahaa sasa hapo tutaanza kufikiria kingine labda kuna kitu kingine anakihitaji ...nadhani umenielewaSawa umeshampa attention umeongea nae say labda hiyo ni weekend sasa na nipo siku nzima siendi popote.
Jion twende feri tukale supu ya pwezayule mwanamke asingeweza kuharibu urafiki wetu wa muda mrefu....
Ahahahha af kusimulia hajui au ana kigugumizi 😂😂😂Imagine mtu anaangalia movie huko, then anataka aje akusimulie yooote. Sasa ole wako uchoke kumsikiliza 😅
nasaka pesa mimi sina muda wa porojo...Jion twende feri tukale supu ya pweza
😊 na hapo ndipo binadamu tumetofautiana.Mbona sioni usumbufu wowote hapo!!
Aya ukizipata tunza ukaoenasaka pesa mimi sina muda wa porojo...
Acha tu 😅Ahahahha af kusimulia hajui au ana kigugumizi 😂😂😂