ni stori ndefu sana 😂Kwahiyo unamjua [emoji23][emoji23]
Hii mimi ndio huwa inaniboa. Unacheki documentary au movie ambayo inakutaka usikilize kwa utulivu unaona mtu yupo busy kukuongelesha vitu ambavyo havina ulazima kuongea muda huo.Sipendi nipo nachek tv limtu linakuja na story zake
Naona wengi hapa waleta story za kuvumiliana sijui ndio maisha ya ndoa. Hakuna kitu kama kuvumilia mtu anafanya tabia za kukera.Kwa mtu aliye na experience na hiki kilichozungumzwa hapa nazani atakuwa amemuelewa vyema sana mtoa mada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wahenga walipomaliza kusema misemo yao na wahuni tukasema
"Mwanamke hakuchoshi akiwa Anaishi kwa Baba yake tu"
Maana anaweza kukukasirikia hata kwa kosa la wewe kuwa mstaarabu na kujishusha, ukikaa kimya utaskia "kwahiyo mi nakuongelesha we umenyamaza ila wanawake zako unawajibu"
Nkionaga tu hyo avatar 🙆🙆🙆Eti matacle yako 😂😂😂😂😂 ndiyo yake kweli.
Wanasema ndege wafananao huruka pamoja...
Huyo ni mpwa wa Half american kwahiyo nilitambulishwa na uncle wake[emoji23][emoji23][emoji23] nyie jamaa koo mnajuana
Ni kukosa adabu na heshima tu. Unapoishi na mwenzako tambua vitu ambavyo hapendezwi navyo halafu jiwekee tu mkakati wa kuishi nae bila kumkera.Ukiachilia hayo ya mtoa mada ila kiukweli wengi wetu adabu na heshima hatuna,malezi pia yanachangia tunafikia huku
INakufanyaje tena Mkuu Mpaji Mungu 😜Nkionaga tu hyo avatar 🙆🙆🙆
Aaah sawa sawa[emoji1]Huyo ni mpwa wa Half american kwahiyo nilitambulishwa na uncle wake
nilimuibia demu kijana tuakaingia kwenye kipindi kirefu cha uadui sema tukaja kupotezeana au sio Johnnie WalkerTumegee kidogo!
Ngoja tu nitulie tulie muda usogeee!!INakufanyaje tena Mkuu Mpaji Mungu 😜
Kwahiyo unajisifu 😂😂nilimuibia demu kijana tuakaingia kwenye kipindi kirefu cha uadui sema tukaja kupotezeana au sio Johnnie Walker