Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,397
wahenga walipomaliza kusema misemo yao na wahuni tukasema
"Mwanamke hakuchoshi akiwa Anaishi kwa Baba yake tu"
Maana anaweza kukukasirikia hata kwa kosa la wewe kuwa mstaarabu na kujishusha, ukikaa kimya utaskia "kwahiyo mi nakuongelesha we umenyamaza ila wanawake zako unawajibu"