Hivi ulishawahi kuujiuliza hili Jambo kweli

Hivi ulishawahi kuujiuliza hili Jambo kweli

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,756
Reaction score
2,309
"MADHAIFU YANGU NI YAPI?"

Hii nimeisikia sehemu na nikaona ni maada nzuri kwa kweli. Mara nyingi watu wengi tuko wepesi mno kuyajua madhaifu ya jirani au rafiki yako.

Lakini Je binafsi ulishawahi kujiuliza kama Madhaifu yako huwa yako wapi? Na ukajicommite kwamba una udhaifu fulani.

Binafsi nilijiuliza hili swali niliji commit madhaifu yangu mimi huwa ni mkimya sana na nimwepesi wa kutake easy jambo kumbe hata lina uzito imenitokea mara nyingi sana.

Lakini pia ukimya wangu huwa ni kikwazo kabisa huwa nashindwa hata kupata marafiki wapya hata tukiwa kwenye semina na mikutano ya aina yoyote.

Kuwa muongeaji ama kuanzisha mazungumzo na mtu nisiemjua huwa ni taabu sana kwangu.

"SIJUI KWAKO WEWE"
 
mimi madhaifu yangu nayajua na huwa na make sure mwingine asiyajue
 
Nakumbuka zamani kwenye moja ya interview niliulizwaga strength na weakness zangu ni zipi?... nikajisifia weee... udhaifu sasa... ''Napenda kufanya vitu kwa ubora na viwango kiasi kwamba wakati mwingine najikuta natumia muda wangu binafsi kwa assigments silizoko mbele yangu, hali inayopelekea kutopata muda mzuri wakati mwingine wa ''kusoshalaizi''

Wenye akili walinielewa ila wengine waliamini. Observe keenly utaona hio tricky hapa kwa wengi tukianzia na Shamkware!!!! Am kidding anyway!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mi mnyonge ninyongeni hata kesho haki yangu mtanipa kama utanidhulumu sawa tu.
 
Sometime upole ni mzuri ila ukizidi utaojikuta kila mtu anafanya kitu kwa sababu anajua wewe ni mpole na hutareact na hili limecost sana Tized naamini unaelewa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu upo kweli?

Nakubaliana na wewe Mkuu, Na kwa upole na unyenyekevu wako watakua wanakuoneaje? hahahaaaa!!!upole una gharama sana.

Mimi sijijuagi kama ni mpole au ni mtaratibu au ni mkimya nje ya hii keyboard Mkuu Mr Rocky inabidi niwatafute chemba na Ntuzu mnipe hilo somo tukirefer ''Johar's Window''.
Sometime upole ni mzuri ila ukizidi utaojikuta kila mtu anafanya kitu kwa sababu anajua wewe ni mpole na hutareact na hili limecost sana Tized naamini unaelewa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Tized ni ngumu sana aise na kwenye mazingira tunayoishi unajikuta unatake it easy and let it go kama Shamkware hapo. Maana unaona bughudha kufuatilia jambo au kubishana na kitu ambacho at the end of the day hakikusaidiii na hii inacost sana
Yaani wacha tuu mkuu sometime nasema sijui nilianzishe na mimi roho ya kutu ila najikuta najiuliza naanzaje kwanza kuishika hiyo
 
Last edited by a moderator:
mi mvivu wa kuongea hasa kwenye group, watu wengi wanachukulia kuwa najiskia
 
Mkuu ukishapewa kitu ndani ya nafsi ni nguvu kukikataaa au kwenda kinyume nacho.. Ukishaumizwa sana ndio unaweza kuwega ukorofi (too much of anything is harmful) Inabidi uanze kula pipilipi kichaa kwa wingi angalau upate ukali kidogo .. hahahaha

Mkuu Tized ni ngumu sana aise na kwenye mazingira tunayoishi unajikuta unatake it easy and let it go kama Shamkware hapo. Maana unaona bughudha kufuatilia jambo au kubishana na kitu ambacho at the end of the day hakikusaidiii na hii inacost sana
Yaani wacha tuu mkuu sometime nasema sijui nilianzishe na mimi roho ya kutu ila najikuta najiuliza naanzaje kwanza kuishika hiyo
 
Mkuu ukishapewa kitu ndani ya nafsi ni nguvu kukikataaa au kwenda kinyume nacho.. Ukishaumizwa sana ndio unaweza kuwega ukorofi (too much of anything is harmful) Inabidi uanze kula pipilipi kichaa kwa wingi angalau upate ukali kidogo .. hahahaha

Sasa hapo natafuta kupiga chafya tuu na mimi ni adui wa pilipili wala siwezi kujiwekea lengo za kuzitumia na kwa hali halisi ni ngumu sana kukaribisha ukorofi na ukali
 
Back
Top Bottom