Hivi ulishawahi kuujiuliza hili Jambo kweli

Hivi ulishawahi kuujiuliza hili Jambo kweli

Mleta uzi we ni pacha wangu kitabia lol
 
"MADHAIFU YANGU NI YAPI?"

Hii nimeisikia sehemu na nikaona ni maada nzuri kwa kweli. Mara nyingi watu wengi tuko wepesi mno kuyajua madhaifu ya jirani au rafiki yako.

Lakini Je binafsi ulishawahi kujiuliza kama Madhaifu yako huwa yako wapi? Na ukajicommite kwamba una udhaifu fulani.


Binafsi nilijiuliza hili swali niliji commit madhaifu yangu mimi huwa ni mkimya sana na nimwepesi wa kutake easy jambo kumbe hata lina uzito imenitokea mara nyingi sana.

Lakini pia ukimya wangu huwa ni kikwazo kabisa huwa nashindwa hata kupata marafiki wapya hata tukiwa kwenye semina na mikutano ya aina yoyote.

Kuwa muongeaji ama kuanzisha mazungumzo na mtu nisiemjua huwa ni taabu sana kwangu.

"SIJUI KWAKO WEWE"

ah! leo umeona uje na kitu cha johari window(uknown to me known to others) safi sana!
 
Back
Top Bottom