Vitu vingi sana kuanzia hesabu hadi medical science ,vifaa vingi unavyoviona leo mahospitalini alivumbua mtu anaitwa zahrawi ambaye vitabu vyake hadi leo bado wazungu wanatumia kufundishia ulayauislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
Hayo ni matokeo ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Nyerere,unazani ingekuwepo ile Zanzibar ya Sultani wa Zanzibar Tanganyika ingeona ndani leo hii,kweli wajinga wengi sana, Zanzibar ilikuwa zaidi ya Dubai watu walikuwa wanatoka sehemu mbalimbali ya Afrika kwenda kusoma Zanziba,historia inaweza kuhalibiwa na watu kwa makusudi na wajinga wakaja kutukanaMimi nimesema hivo sio kwa kudhani, ni kweli kabisa. We nenda kwenye websites za matokeo uone shule za zenji zinavyozalisha vilaza. Kila mwaka zinakuwaga za mwisho. Hiyo inatokana na kutokuzingatia mambo ya shule wao kila kukicha ni madrasa tu kufundishana upuuzi.
So what is your point here!!!Ni nzuri ili tuweza kuwaelimisha wengine,kuna inchi zilikuwa na Ustarabu mpaka wakoloni wenyewe walishanga,kuna Nyumba wanajua Mzungu na ukristo ndivyo vilivyoleta ustarabu, umeshawahi kusikia historia ya Misri? Mungu mwenyewe anamwambia nabii Ibrahimu,usikae bure tembeatembea ukaone wenzako walivyostarabika,anafika Misri na kukutana na bonge la mji likiwa na kila kitu,mpaka wakamya'nganya mke wake Sala?
Asante , shikamoo, madrasa, mwalimu,marahaba ,gari,gunia,dunia hayo ni baadhi ya maneno yaliyoletwa na hao wageni kutoka mashariki ya mbali na katiUisilamu ulileta Biashara na Trade katika pwani yetu ya Afrika ya Mashariki na ndio sababu ya kuzaliwa kwa lugha ya Kiswahili.
Uko sahihi kabisa, lakini nadhani SHIKAMOO ni Kibantu GARI ni Kihindi DUNIA ni Kihindi MADRASA ni KiarabuAsante , shikamoo, madrasa, mwalimu,marahaba ,gari,gunia,dunia hayo ni baadhi ya maneno yaliyoletwa na hao wageni kutoka mashariki
Tumekua weusi😨Uislam ni tamaduni na njia ya identification kama ulivyo Uafrika. Uafrika mpaka dakika hii umefanya nn afrika?
Unajua hata hiyo covid vaccine ya pfizer wagunduzi ni waislamu kutoka turkey?uislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
Mambo mengiuislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
Watu wote washakili kuwa mimi ni genius kabaki mmoja tu Moisemusajiografii huyu ndo bado analeta utataKuna watu nikiwambia wewe ni genius huwa wanakataaa...
Nazani wakiona hii wataamini.
Mkuu kiukweli umekua mtu wa kuni inspire sana aiseee yaan huwa unawaza sana beyond human abilities
Shikamoo ni kiarabuUko sahihi kabisa, lakini nadhani SHIKAMOO ni Kibantu GARI ni Kihindi DUNIA ni Kihindi MADRASA ni Kiarabu
Wacha weeeeeeeeh.... Ustaarabu wa vigodoro, ushoga, umaskini,ujinga, kubeba mabusha, uvivu, unywaji kahawa siku nzima.... Angalia maeneo yaliyojawa na waislamu hata Dar.ni maeneo ya watu waswahili maskini. Temeke, Buguruni kwa mnyamani, tandale,mbagala,vingunguti,mburahati. Asilimia 80 plus kumejaa waislamu.Uislam umeleta ustaarabu na biashara Pwani na ndio sababu Makafiri wamehamia Dar kwa wingi.
Leo makafiri wanakimbia makwao kwenda kwa waswahili kutafuta maisha
Fafanua zaidi please.Shikamoo ni kiarabu