Huwa najiuliza sana kuhusu hii nchi iitwayo Uingereza, hivi waliwezaje kutawala nchi zote hizo hapa Duniani mbona wamechoka hivyo... Yaani zaidi ya lugha hakuna chochote kingine walichonacho hata Kiingereza chenyewe unaweza kusema ni shauri ya Marekani ndio maana wote leo hii tunataka kujifunza.
Embu angalia Kombela La Dunia wanaondoka kama waliivyokuja hawajashinda mechi hata moja, kweli wakati huo Dunia nzima ilikuwa imelala...Sasa wanaweza nini, Tangu nizaliwe sijwahi kukutana kitu kimeandikwa made in Uingereza ukiachilia Ma land rover ambayo hakuna mtu anataka...watu wana ma GXR8 Toyota
Huwa najiuliza sana kuhusu hii nchi iitwayo Uingereza, hivi waliwezaje kutawala nchi zote hizo hapa Duniani mbona wamechoka hivyo... Yaani zaidi ya lugha hakuna chochote kingine walichonacho hata Kiingereza chenyewe unaweza kusema ni shauri ya Marekani ndio maana wote leo hii tunataka kujifunza.
Embu angalia Kombela La Dunia wanaondoka kama waliivyokuja hawajashinda mechi hata moja, kweli wakati huo Dunia nzima ilikuwa imelala...Sasa wanaweza nini, Tangu nizaliwe sijawahi kukutana kitu kimeandikwa made in Uingereza ukiachilia Ma land rover ambayo hakuna mtu anataka...watu wana ma GXR8 Toyota
Una miaka Mingapi dogo? Kasome Historia ndipo utajua nini maana ya Super Power... Huwezi linganisha na Soccer... nadhani utakuwa na akili kama za Iran na argentina walipoweza kuifunga England wakaona kama ndio wamelipa kisasi cha kunyang'anywa Kisiwa chao... japo hicho kisiwa wanaoishi humo ni Waingereza wenyewe... Iran naye aliifunga Marekani kwenye World cup huko kitambo akaona ndio kaishinda kwa kila kitu... ni Akili ndogo sana...
Hujawahi ona kitu kimeandikwa Made in U.K pole sana sisi tuliotumia tokea kitambo hadi sasa tunasikitika kuvikosa kwani wao wanajari ubora kwanza... British airways waliondoka kwa sisi kutopenda ubora wakatuacha na makanjanja wetu tuwapendao... hawajui au hawataki kitu kinachoitwa Rushwa... Ukiwa na kitu kilichoandikwa Made in U.K lazima ueshimike na kutambulika mpenda vitu bora... Nenda ukatue London,Manchester,New Castle na miji mingine ujue kwanini walikuwa super power... Marekani nayo inaundwa na Waingereza...
Katika Dola zilizowahi Tawala Dunia na zilizobaki imara U.k wapo Njema Bado... Roman ndio yaweza kuwa Choka mbaya,The Great Alexander wa Greek au Greek alipotea,Persian,Nebuchadnezzar, Farao n.k
Uingereza ni United hata wakiamua kwa Sasa wanaweza ila haina Haja... Ukienda New Zealand,Australia,Hong Kong japo ni wachina ila wapo bega kwa Bega na Uingereza hawamtaki mchina... Marekani majimbo kibao, Canada hao bado ni Waingereza tu hivyo usishangae kiingereza kwa Marekani kimetoka wapi ni hao hao tu... walikuwa wengi sana walikuwa hawatoshi kwenye visiwa vyao... wamechanganyikana na Wayahudi ndio usuper power utokeamo...
Nenda kwenye List ya vitu wanavyotengeneza Waingereza humu ukurasa hautatosha... hayo Magari ya Toyota yamejaa kwenye Nchi Masikini tu... watu wanatumia magari ya Gharama full Luxuary... Jaguar,Rolls-Royce,Gari za Mr.Bean,Austin McLaren Haswa za Mashindano... And Then Inaelekea hujawahi Panda Mabasi ya Leyland kabisa wewe unapanda aina ya TATA mauda yenu...
Hizo story kila Mtu anaweza kuzitengeza hata mimi naweza kukutungia Mambo kibao kuhusu Nchi yangu za TZ nikasema ilikuwa Super power...wakati wa Mafarao huko Misri.. tunaishi sasa hivi hatuishi Miaka 700 iliyopita...
Ndio sijawahi kuona kitu made in Uingereza lkn nimeona Made in Ufaransa, Made in Marekani, Made in Ujapani, Made in Ujerumani, Kanada, Korea nk lkn sijawahi kuona made in Uingereza ukiachilia mbali mavunja migongo maland rover...
Mafanikio kwenye Kombe la Dunia ni ishara tosha kwamba Nchi iko njema... haiwezekani usishinde mechi hata moja halafu useme wewe uko vizuri hata Marekani ambayo soka sio kihivyo lkn wanasonga mbele angalia Ujapani wamo tu...
Mkuu
Mafanikio kwenye Kombe la Dunia ni ishara tosha kwamba Nchi iko njema... haiwezekani usishinde mechi hata moja halafu useme wewe uko vizuri hata Marekani ambayo soka sio kihivyo lkn wanasonga mbele angalia Ujapani wamo tu...
Huwa najiuliza sana kuhusu hii nchi iitwayo Uingereza, hivi waliwezaje kutawala nchi zote hizo hapa Duniani mbona wamechoka hivyo... Yaani zaidi ya lugha hakuna chochote kingine walichonacho hata Kiingereza chenyewe unaweza kusema ni shauri ya Marekani ndio maana wote leo hii tunataka kujifunza.
Embu angalia Kombela La Dunia wanaondoka kama waliivyokuja hawajashinda mechi hata moja, kweli wakati huo Dunia nzima ilikuwa imelala...Sasa wanaweza nini, Tangu nizaliwe sijawahi kukutana kitu kimeandikwa made in Uingereza ukiachilia Ma land rover ambayo hakuna mtu anataka...watu wana ma GXR8 Toyota
Mkuu Wajua Gari Ziitwazo Range Rover? au hujawahi kutana nazo kitaa unaishi Bush ipi?
Hakuna Mlofa anayeweza kunua hii mikitu labda Hii hapa chini
Wewe endelea na Toyota... tu Wenye pesa zao waache ni Super power wanaishi ulimwengu ambao huwezi kuufikia ndio maana kinachokushangaza kuwa honi sababu ya hao jamaa kuwa Super Power... Historia inasema katika vita fupi Duniani iliyowahi piganwa ni kati ya Uingereza na Zanzibar Nusu saa tu Waingereza wakaishika Nchi ya Zanzibar. Kuna Matrekta yanaitwa Massey Ferguson ushawahi yasikia?
Hizo story kila Mtu anaweza kuzitengeza hata mimi naweza kukutungia Mambo kibao kuhusu Nchi yangu za TZ nikasema ilikuwa Super power...wakati wa Mafarao huko Misri.. tunaishi sasa hivi hatuishi Miaka 700 iliyopita...
Ndio sijawahi kuona kitu made in Uingereza lkn nimeona Made in Ufaransa, Made in Marekani, Made in Ujapani, Made in Ujerumani, Kanada, Korea nk lkn sijawahi kuona made in Uingereza ukiachilia mbali mavunja migongo maland rover...
Mafanikio kwenye Kombe la Dunia ni ishara tosha kwamba Nchi iko njema... haiwezekani usishinde mechi hata moja halafu useme wewe uko vizuri hata Marekani ambayo soka sio kihivyo lkn wanasonga mbele angalia Ujapani wamo tu...
mbona india na china wako vizuri kuliko hata brazil lakin waneshindwa kushiriki world cup? mpira ni mchezo tu ata wewe unaweza cheza
Huwa najiuliza sana kuhusu hii nchi iitwayo Uingereza, hivi waliwezaje kutawala nchi zote hizo hapa Duniani mbona wamechoka hivyo... Yaani zaidi ya lugha hakuna chochote kingine walichonacho hata Kiingereza chenyewe unaweza kusema ni shauri ya Marekani ndio maana wote leo hii tunataka kujifunza.
Embu angalia Kombela La Dunia wanaondoka kama waliivyokuja hawajashinda mechi hata moja, kweli wakati huo Dunia nzima ilikuwa imelala...Sasa wanaweza nini, Tangu nizaliwe sijawahi kukutana kitu kimeandikwa made in Uingereza ukiachilia Ma land rover ambayo hakuna mtu anataka...watu wana ma GXR8 Toyota
Hizo story kila Mtu anaweza kuzitengeza hata mimi naweza kukutungia Mambo kibao kuhusu Nchi yangu za TZ nikasema ilikuwa Super power...wakati wa Mafarao huko Misri.. tunaishi sasa hivi hatuishi Miaka 700 iliyopita...
Ndio sijawahi kuona kitu made in Uingereza lkn nimeona Made in Ufaransa, Made in Marekani, Made in Ujapani, Made in Ujerumani, Kanada, Korea nk lkn sijawahi kuona made in Uingereza ukiachilia mbali mavunja migongo maland rover...
Mafanikio kwenye Kombe la Dunia ni ishara tosha kwamba Nchi iko njema... haiwezekani usishinde mechi hata moja halafu useme wewe uko vizuri hata Marekani ambayo soka sio kihivyo lkn wanasonga mbele angalia Ujapani wamo tu...
Hawajashindwa Mchezo namba 1 wa India ni Kriketi na China ni mambo ya kung fu na karate, Wakati Uingereza mchezo wao ni Mpira wa miguu hivyo ina maana wamewekeza nguvu yote hapo, lkn bado hawajashinda mechi hata moja. Halafu isitoshe huwezi kulinganisha India na Brazili hata kwa nini, Brazili wako mbali sana Kiuchumi kupita hata Uchina kama ukichukulia pato la mtu kwa kichwa...
(4) Kama hujui kuwa uingereza inatengeza vitu basi ni kwa sababu umezowea vitu vya ubora wa chini na bei nafuu vinavyotokea nchi za Asia. Uingereza, Ufaransa na Ujerumani ndiyo mataifa yanayojulikana kwa kutengeneza vitu vya ubora wa hali ya juu duniani. Injini kubwa za ndege za airbus na baadhi ya ndege za boeing hutengezwa na rolls royce ya uingereza; ndege kasi za Concorde zilitengezwa na ushirikiana baina ya Uingereza na Ufaransa; magari ya kifahari ya jaguar, rolls royce na range rover na kama ulikuwa hujui, ile rada ya kimataifa ya BAE iliyosababisha tuibiwe pesa na wajanja, vyote vinatoka uingereza.
Kwenye G10 brazil haipo ila china na india zipo..inamana wamezngatia vgezo gan?
Naomba msaada wako mwanauchumi
Sent from my iPhone4 using JamiiForums
Aliyekwambia Brazili haimo G 10 ni nani? Kwa taarifa yako Brazili ni nchi ya 7 yenye Uchumi mkubwa Duniani na imeizidi Uingereza na isitoshe ukubwa wa Uchumi siyo ishu bali ishu ni pato la kwa kichwa (GDP per capita) ambao uki google utaona kwamba Brazili wana $12 000 za kimarekani kwa kichwa wakati India wana Dola za kimarekani $4000 na Uchina wana dola za Kimarekani $6000 hivyo pato la mwananchi wa Brazili ni mara mbili la pato la Mchina na mara tatu ya pato la muhindi!
Kila kitu kipo wazi google tu Nchi zote tatu uone mwenyewe!
Na hilo "pato la kwa kichwa" kwa Uingereza ni dola ngapi?
Na impact ya kiutamaduni na kisheria ya Uingereza unaifahamu?