Chuo bora ulimwenguni??
habari ndo hiyo
Chuo bora ulimwenguni??
Chuo bora ulimwenguni??
Kweli mmekosa kazi
Mada ya tangu 2011 mpaka sasa mnajadili UCC tu?????
Inaonekana UCC inathamani kubwa sana kuliko mambo yenu
Kwahiyo mkuu unatushauri tusiende kusoma pale?Zamani ilikuwa na association na UDSM academically, ila baada ya kuja ishu za NACTE et al, sasa uhusiano wa UCC na UDSM upo economically zaidi, na si academically. So unaweza kupata cheti UCC lakini kisikusaidie lolote kujoin further UDSM studies. Kuna tudada twingi tu huko uraiani tunawahadaa watu kwamba tunasoma UDSM, kumbe tunaishia kwenye jengo moja tu la UCC !
Kwahiyo tusiende pale?kinathamani yake sana wala siuongo,hebu piga picha ya majanki wanao maliza form four na hawakupata nafasi ya kwenda advance ni wangapi,niambie kati ya course ambazo mtu akisoma hata kwa miezi kadhaa miaka kadhaa anaweza kuapa walau ajira au kujiajiri,nadhani zaidi ya ualimu,kunahizo hotel management,tour guiding,n.k ndizo pekee zinazoonekana kuwamkombozi wa hii jamii
Mkuu, kumbuka hii ni post ya Disemba 2011. Kwa sasa kuna mambo yamefanyika ikiwamo na kusajiliwa na NACTE. Wakati post hii injadiliwa, NACTE haikuwa inazibana taasisi zinazotoa cheti na Diploma kufundisha kwa mitaala mahususi. Sasa hivi unaweza ukaenda tu na hata Diploma za UCC zinatumika for joining Higher Learning InstitutionsKwahiyo mkuu unatushauri tusiende kusoma pale?
Acha kudanganya watu, UCC ni kampuni inayojitengemea ikiwa inamilikiwa na chuo cha mlimani kwa asilimia 100 na wala si vinginevyoZamani ilikuwa na association na UDSM academically, ila baada ya kuja ishu za NACTE et al, sasa uhusiano wa UCC na UDSM upo economically zaidi, na si academically. So unaweza kupata cheti UCC lakini kisikusaidie lolote kujoin further UDSM studies. Kuna tudada twingi tu huko uraiani tunawahadaa watu kwamba tunasoma UDSM, kumbe tunaishia kwenye jengo moja tu la UCC !
Kwahiyo mkuu kwa mwaka wa 2019 naweza nikaapply pale?Mkuu, kumbuka hii ni post ya Disemba 2011. Kwa sasa kuna mambo yamefanyika ikiwamo na kusajiliwa na NACTE. Wakati post hii injadiliwa, NACTE haikuwa inazibana taasisi zinazotoa cheti na Diploma kufundisha kwa mitaala mahususi. Sasa hivi unaweza ukaenda tu na hata Diploma za UCC zinatumika for joining Higher Learning Institutions
Yeah, apply bila shakaKwahiyo mkuu kwa mwaka wa 2019 naweza nikaapply pale?
Niapply City Centre au Main Campus?Yeah, apply bila shaka
Soma vizuri, ni univesity of dar es salaam computing center.jamani hichi chuo mie sikielewi nimesoma short course ila nashangaa cheti nilichopewa kimeendikwa university of computing center limited hivi hiki chuo na udsm wana uhusiano gani
vip kuhusu usajili wa NACTEUCC ni private company inayomilikiwa na chuo na ina huduma nyingi tu sio kufundisha tu hata software na Networking. Pia hata Managing Director anateuliwa na chuo. Hivyo ni kampuni ya chuo.
Imesajiliwa na NACTE na inatoa Certificate NTA 4 pia Diploma NTA 5 & 6.vip kuhusu usajili wa NACTE
Nenda Headquarters pale Main Campus, nafasi walau si ya kujibana kulinganisha na City Centre kwenye pangoNiapply City Centre au Main Campus?
From Buza to MwengeNenda Headquarters pale Main Campus, nafasi walau si ya kujibana kulinganisha na City Centre kwenye pango