Hivi uadui wa uisilamu na USA upo kweli? Ulitokana na nini?

Issue sio Uislm but ni Uaarabu na resources zilizo katika hizo Nchi Indonesia & Malaysia hazina resources zozote za maana kama zilivyo Nchi za kiarabu.
Turkey kinacho msaidia ni geographical position yake dhidi ya adui wa USA & West countries ambaye ni Russia.Turkey inatumika kimkakati kuua nguvu za Russia kimkakati.

Muwe mnashirikisha ubongo na kufanya research kabla hamjachangia pumba. Unaijua Indonesia wewe? Unasema Indonesia haina resources zozote za maana, really? Nchi gani ya kiarabu, in the middle East rather inaigusa Indonesia kwa rasilimali?

Kwanza unajua GDP ya Indonesia ni over 1 trillion USD, hamna nchi ya arabuni inagusa hapo.

Unajua Indonesia inazalisha mafuta ya kutosha na ilikua OPEC na kusitisha ushirikiwa wake voluntarily twice? Unajua Indonesia inazalisha gold, copper, mbao nk. Unajua Indonesia ina mbuga za wanyama, misitu ya mvua, ardhi yenye rotuba nk? Indonesia ina visiwa zaidi ya 15,000 (Elfu kumi na tano) na 5,000 (Elfu tano tu) ndo inhabited. Nchi gani ya arabuni inagusa hata kimoja wapo hapo.

Ukitoa mafuta arabuni kuna nini kingine in terms of natural resources? Name just two.

FYI Indonesia na Congo ndo nchi zinazochuana when it comes to rasilimali.

Mmemkaa bongo mnajazwa ujinga na CCM nyie ndo matajiri pekee wa rasilimali kila mtu anawaonea wivu na nyie mnaamini.
 
Waislam ni dini inayopigania haki za binaadam. Amerika hawataki hivyo
Haki?!
👇
Miaka tisa baada ya Boko Haram kuwateka nyara wanafunzi 276 kutoka shule ya wasichana huko Chibok, wasichana 98 bado wanashikiliwa na Boko Haram na mauaji ya utekaji nyara yamefanyika tangu wakati huo...
 
Waislam ni dini inayopigania haki za binaadam. Amerika hawataki hivyo
Mabepari hawana chuki na dini ya mtu ila wanaitumia kuwafitinisha mtwangane ili kulinda maslahi na ustawi wa taifa lao. Unapigana vita ukijua unatetea dini yako kumbe nyuma ya pazia kuna mpango tofauti.
 
Adam kazaliwa mashariki ya Kati
Yesu kazaliwa Palestina uarabuni
Mtume wetu kazaliwa Makka
Hakuna mtume aliezaliwa Vatican. Kama unae mlete hapa. Hujui kitu unashabikia kama unashabikia ngoma
waarabu kwao kiasili ni saudia na oman ila huko kwingine walivamia tu , wapalestina sio waarab ila ni waislam wanaendeshwa na waarabu , ndan ya middle east zipo jamii nying sana sio waarabu tu japo uislam umetamalaki ila sio wote waarabu , Yesu ni myaudi na unakili kazaliwq mashariki ya kati ambapo waporaji wakaj paita palestina
 
Vita zinazotokea Mashariki ya Kati huwa inaelezwa chanzo ni USA, sababu ni chuki dhidi ya Uisilamu.

Kwanini uisilamu? Kwanini isiwe Waarabu bali ihesabike ni Uislamu? Mbona kuna nchi za kiislamu hazina migogoro mfano; Indonesia, Malasyia na hata Turkey?

Kwanini USA ichukie Uislamu na sio dini zingine kama budha na Hindu?

Kwanini migogoro ya Kiarabu inapewa Sura za Dini?

Tujadilini hoja tu.
USA hata wewe kama hukubaliani nao basi ni adui wao.

Washasema wazi "You're either with us or you are against us".


Kwani Mugabe alikuwa Muislam?

Kwani Putin Muislam?

KKwani kiduku Muislam?

Kwani Jinping Muislam?

Waislam hawakubali kumsujudia ndiyo maana hapatani nao wote.
 
Kifupi uislam unakinzana na ubepari kimaslahi mfano Riba na mengineyo.
Pili Uislam ulishakuwa super power kitambo hicho so ni sleeping giant ambalo linaweza kuamka na kutake over.
 
Wewe mwenyewe unaishi kwa msaada wa marekani
Kivipi
Ntaishije kwa msaada wao wakati sipokei msaada wowote
Nalipa kodi kwenye nchi inayojielewa
Sio kila mmoja humu anaishi kwenye nchi masikini
Hata hizo nchi nilizokuwa kuwa naishi miaka ya nyuma ni usa ndio inawategemea zaidi kwa mafuta yao
 
Mabepari hawana chuki na dini ya mtu ila wanaitumia kuwafitinisha mtwangane ili kulinda maslahi na ustawi wa taifa lao. Unapigana vita ukijua unatetea dini yako kumbe nyuma ya pazia kuna mpango tofauti.

Kapiganieni haki za madrasa kuzalisha mashoga
Kwani kuna nchi ya kiislam inasupoort ushoga? Nchi zote zinazounga ushoga ni za kikiristo. Shoga ktk sheria za kiislam ni kuuliwa ktk sheria za kikiristo kama America kupewa useneta. Sasa nani anapalilia ushoga. Nitumia akili japo usikurupe utaumbuka mshikaji
 
Back
Top Bottom