sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 5,201
- 13,357
Kwan ww umejuaje kiberiti kinauzwa 100?
Au bia ni 2500?
Ulitangaziwa?
Kwa case hiyo, Ndo uchukulie kwenye madawa pia š
Zote ni condom lakini bei ni tofauti unafikiri ni kwanini mkuuu???
Jibu utakalopata ujue na kwenye madawa ni hivyo hivyo