komanyahenry
JF-Expert Member
- Sep 15, 2017
- 903
- 1,352
Naangalia Dr Shein akifunga maonesho ya viwanda ya SADC ikiwa ni mubashara, nikajaribu kufuatilia television zinazorusha mubashara tukio ili muhimu ni ITV, EATV, Channel Ten na TBC, kufika hiyo television ya taifa nimekutana na kitu cha ajabu sana, nashindwa kuelewa kama hakuna wataalamu wanaoweza kuleta mageuzi kwenye hiyo television. Kwanza rangi ni mbovu kushinda hata Dira TV. Pili, licha ya kuwa mlengwa ni Dr Shein lakini sidhani kama ilikuwa ni sahihi kuwakata/ kuoneshwa nusu sura kwa walinzi wa Rais wetu wazanzibar