NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,966
HUO NDIO UKWELI JAPO HUKUFUNDISHWAMie shule sikufundishwa hivyo au wewe ulisomea malawi?
HUO NDIO UKWELI JAPO HUKUFUNDISHWAMie shule sikufundishwa hivyo au wewe ulisomea malawi?
Huo ndio ukweli.Nasikiliza TBC kwenye kipindi hiki cha saa tano na nusu (mirindimo) mtangazaji anazungumzia kuundwa kwa jina la TANZANIA ! akisema imetokana na Tanganyika na zanzibar lakini kilichonichefua.. ni pale anaposema herufi mbili za mwisho IA. zinawakilisha jina la mtu aliyebuni jina hilo na Dini yake yaani (Iqbar) (Ahmadiya..) hiyo moja ni Taasisi ya Dini na hilo jina lake..
Kinacholeta ukakasi ni hivi kwenye redio ya Taifa unapotaja taasisi ya dini kuunda jina la Taifa unakuwa umekusudia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa amewahi kuhojiwa mpaka na BBC akidai hivyo. Sasa hiyo ni taarifa TBC wanakupa, hupaswi kubisha nayo unless unayo stori mbadala kuikanusha hiyo. Vinginevyo utakuwa na chuki binafsi unakumbua ! getrusaNasikiliza TBC kwenye kipindi hiki cha saa tano na nusu (mirindimo) mtangazaji anazungumzia kuundwa kwa jina la TANZANIA ! akisema imetokana na Tanganyika na zanzibar lakini kilichonichefua.. ni pale anaposema herufi mbili za mwisho IA. zinawakilisha jina la mtu aliyebuni jina hilo na Dini yake yaani (Iqbar) (Ahmadiya..) hiyo moja ni Taasisi ya Dini na hilo jina lake..
Kinacholeta ukakasi ni hivi kwenye redio ya Taifa unapotaja taasisi ya dini kuunda jina la Taifa unakuwa umekusudia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muheshimiwa hivi karibuni kakabidhiwa bikira maria (sanamu) Ikulu, hii imekaaje !?Nasikiliza TBC kwenye kipindi hiki cha saa tano na nusu (mirindimo) mtangazaji anazungumzia kuundwa kwa jina la TANZANIA ! akisema imetokana na Tanganyika na zanzibar lakini kilichonichefua.. ni pale anaposema herufi mbili za mwisho IA. zinawakilisha jina la mtu aliyebuni jina hilo na Dini yake yaani (Iqbar) (Ahmadiya..) hiyo moja ni Taasisi ya Dini na hilo jina lake..
Kinacholeta ukakasi ni hivi kwenye redio ya Taifa unapotaja taasisi ya dini kuunda jina la Taifa unakuwa umekusudia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unahisi mtangazaji kaingia studio akaanza kuropoka ropoka !?Mkuu kedekede kilichonikera ni kutamka taasisi ya Dini kwenye historia ya Nchi.. hata kama mtunzi alikuwa mwanachama wa hiyo jumuiya sidhani kama angetoa hiyo hoja kuwa I A inawakilisha jina lake na taasisi yake ya dini angekubaliwa..
Nchi hii ina madhehebu na Dini nyingi hivi unaona ni sahihi Redio ya Taifa kutangaza hilo?
mwisho nasikia huyo mtunzi wa jina bado yupo kwanini asiulizwe yeye?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio chuki binafsi IA ipo kwa maeneo mengi Africa.!! lakini kutangaza Taasisi ya Dini na Jina la mtu kama sehemu ya muundo wa jina la Taifa sidhani kama ni sawa.!Huyo jamaa amewahi kuhojiwa mpaka na BBC akidai hivyo. Sasa hiyo ni taarifa TBC wanakupa, hupaswi kubisha nayo unless unayo stori mbadala kuikanusha hiyo. Vinginevyo utakuwa na chuki binafsi unakumbua ! getrusa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama sio kuropoka nadhani kuna tatizo kalitengeneza ama kwa kujua ama kutokujua, ama kwa kukusudia au kuto kukusudia.Kwa hiyo unahisi mtangazaji kaingia studio akaanza kuropoka ropoka !?
Ni mtazamo wako! Kuihusisha taasisi ya Dini katika maswala ya Taifa sio jambo jema..! Nchi hii ina taasisi nyingi sana za kidini.Kilichokuuma ni kuhusishwa kwa imani ambayo si yako..pole
Ugiligili
Tatizo ni wewe ! Hiyo stori ipo muda mrefu na huyo mtangazaji ameisoma kama ilivyo. Kilichokukera wewe ndivyo hivyo hivyo kilivyo na hakitabadilika mpaka mtu mwingine aje na stori au madai tofauti.Hata kama sio kuropoka nadhani kuna tatizo kalitengeneza ama kwa kujua ama kutokujua, ama kwa kukusudia au kuto kukusudia.
Sent using Jamii Forums mobile app
...IA Alger-IA, AZAN-IA.. Lib-IA (japo tunaiita LIBYA) kila neno huwa na maana yake likidadavuliwaNijuavyo uenda ikawa hivyo....kwani niliwahi kumsikia sehem akisema kuwa I A lipo ktk nchi nyingi za Africa....kama NigerIA...SomalIA...EthiopIA...LiberIA....hivyo na kwetu baada ya kuungana ndiyo akaongeza hizo.....japo sijajua nn maana ila nchi nyingi afrika zina hayo maneno..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo stori ndivyo hivyo ilivyo wacha kujilazimisha kuwa mjinga.Ni mtazamo wako! Kuihusisha taasisi ya Dini katika maswala ya Taifa sio jambo jema..! Nchi hii ina taasisi nyingi sana za kidini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga sio tusi ni hali ya kutokujua jambo.!Hiyo stori ndivyo hivyo ilivyo wacha kujilazimisha kuwa mjinga.
Wewe kweli mjinga ! Hiyo habari ndivyo hivyo ilivyo na huyo Bwana Iqbar alihojiwa mpaka na BBC. Ipo makala imewahi kuandikwa kwenye gazeti na zikachapishwa barua za Waziri husika kumpongeza huyo bwana. Yupo mpaka sasa, na anaishi Uingereza. Watu wa dhehebu la Ahmadiya huwa wanapewa uraia wa UK kiulaini sana. Sasa jua kama hukujua. Usilazimishe kuwekwa kisichokuwepo au kutoa lawama zisizo na msingi.Ujinga sio tusi ni hali ya kutokujua jambo.!
.. mimi nazungumza habari za Taifa kama mkusanyiko wa watu wenye dini tofauti itikadi tofauti, ! Makabila tofauti,! ukiwa na hekima huwezi Tangaza ama ongea jambo kama hilo..
ukijua kabisa linaweza kuzusha mijadala itakayokuwa haina afya kwa Taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee no wonder wapigania Uhuru wa hii nchi walio waislam hawatajwi kwenye historia ya nchi hii, Kwaheri ukoloni kwaheri Uhuru.Mkuu kedekede kilichonikera ni kutamka taasisi ya Dini kwenye historia ya Nchi.. hata kama mtunzi alikuwa mwanachama wa hiyo jumuiya sidhani kama angetoa hiyo hoja kuwa I A inawakilisha jina lake na taasisi yake ya dini angekubaliwa..
Nchi hii ina madhehebu na Dini nyingi hivi unaona ni sahihi Redio ya Taifa kutangaza hilo?
mwisho nasikia huyo mtunzi wa jina bado yupo kwanini asiulizwe yeye?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise we jamaa mkweli hadi nimegopaKwa sababu ni radio ya taifa basi ni historia ya kweli wale lisikukere
Ukiona vipi chimba vitabu vya historia ndipo utajua.
Labda hicho kikao cha kujadili jina walifahamu mchango mkubwa waliotoa waislamu na taasisi zao kupigania uhuru ndipo wakatoa hiyo kama heshima kwao
Hii yote ni kwa sababu wakristo walikuwa nyuma kwenye kupigania uhuru.
Wao na gvt ya kikoloni walikuwa damdam.
HONGERA TBC KWA KULITAMBUA HILO
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uwezo mkubwa sana ndani ya ubongo wako wa kuita wengine wajinga.. yamkini ndivyo ulivyofunzwa na walezi ama wazazi wako.Wewe kweli mjinga ! Hiyo habari ndivyo hivyo ilivyo na huyo Bwana Iqbar alihojiwa mpaka na BBC. Ipo makala imewahi kuandikwa kwenye gazeti na zikachapishwa barua za Waziri husika kumpongeza huyo bwana. Yupo mpaka sasa, na anaishi Uingereza. Watu wa dhehebu la Ahmadiya huwa wanapewa uraia wa UK kiulaini sana. Sasa jua kama hukujua. Usilazimishe kuwekwa kisichokuwepo au kutoa lawama zisizo na msingi.