mali ya mungu
Senior Member
- Aug 25, 2017
- 109
- 108
Mie shule sikufundishwa hivyo au wewe ulisomea malawi?Nasikiliza TBC kwenye kipindi hiki cha saa tano na nusu (mirindimo) mtangazaji anazungumzia kuundwa kwa jina la TANZANIA ! akisema imetokana na Tanganyika na zanzibar lakini kilichonichefua.. ni pale anaposema herufi mbili za mwisho IA. zinawakilisha jina la mtu aliyebuni jina hilo na Dini yake yaani (Iqbar) (Ahmadiya..) hiyo moja ni Taasisi ya Dini na hilo jina lake..
Kinacholeta ukakasi ni hivi kwenye redio ya Taifa unapotaja taasisi ya dini kuunda jina la Taifa unakuwa umekusudia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana kwa kupata ujasiri wa kusikiliza hiyo redio , una moyo wa chuma !Nasikiliza TBC kwenye kipindi hiki cha saa tano na nusu (mirindimo) mtangazaji anazungumzia kuundwa kwa jina la TANZANIA ! akisema imetokana na Tanganyika na zanzibar lakini kilichonichefua.. ni pale anaposema herufi mbili za mwisho IA. zinawakilisha jina la mtu aliyebuni jina hilo na Dini yake yaani (Iqbar) (Ahmadiya..) hiyo moja ni Taasisi ya Dini na hilo jina lake..
Kinacholeta ukakasi ni hivi kwenye redio ya Taifa unapotaja taasisi ya dini kuunda jina la Taifa unakuwa umekusudia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikiliza TBC kwenye kipindi hiki cha saa tano na nusu (mirindimo) mtangazaji anazungumzia kuundwa kwa jina la TANZANIA ! akisema imetokana na Tanganyika na zanzibar lakini kilichonichefua.. ni pale anaposema herufi mbili za mwisho IA. zinawakilisha jina la mtu aliyebuni jina hilo na Dini yake yaani (Iqbar) (Ahmadiya..) hiyo moja ni Taasisi ya Dini na hilo jina lake..
Kinacholeta ukakasi ni hivi kwenye redio ya Taifa unapotaja taasisi ya dini kuunda jina la Taifa unakuwa umekusudia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hutaki unaacha..ubaguzi peleka kwenuNasikiliza TBC kwenye kipindi hiki cha saa tano na nusu (mirindimo) mtangazaji anazungumzia kuundwa kwa jina la TANZANIA ! akisema imetokana na Tanganyika na zanzibar lakini kilichonichefua.. ni pale anaposema herufi mbili za mwisho IA. zinawakilisha jina la mtu aliyebuni jina hilo na Dini yake yaani (Iqbar) (Ahmadiya..) hiyo moja ni Taasisi ya Dini na hilo jina lake..
Kinacholeta ukakasi ni hivi kwenye redio ya Taifa unapotaja taasisi ya dini kuunda jina la Taifa unakuwa umekusudia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikiliza TBC kwenye kipindi hiki cha saa tano na nusu (mirindimo) mtangazaji anazungumzia kuundwa kwa jina la TANZANIA ! akisema imetokana na Tanganyika na zanzibar lakini kilichonichefua.. ni pale anaposema herufi mbili za mwisho IA. zinawakilisha jina la mtu aliyebuni jina hilo na Dini yake yaani (Iqbar) (Ahmadiya..) hiyo moja ni Taasisi ya Dini na hilo jina lake..
Kinacholeta ukakasi ni hivi kwenye redio ya Taifa unapotaja taasisi ya dini kuunda jina la Taifa unakuwa umekusudia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
NigerIA,TanzanIA
IndIA
AustrIA
NigerIA
RussIA
AustralIA
Umepata idea hio IA ni nini?
Umemeki sensi....Hapana anadanganya maana taarifa nilizo nazo kutoka wahenga ni kwamba baada ya kuchukua TAN kutoka Tanganyika na kuongezapo ZAN kutoka Zanzibar na tayari wakawa wamepata TANZAN walikaa wakatulia wakaona lengo ni kupata TANZAN yenye NIA moja, sasa wakataka kuwekapo ile NIA na kwa bahati mbaya ama nzuri kukawepo na N tayari iliyo chotwa Zanzibari ikabidi N waitupilie mbali wawekepo IA pekee ili kukamilisha TAN na ZAN zenye (N)IA moja ndo ikawa imezaliwa TANZANIA yaani Tanganyika na zanzibari zenye nia moja.
Huyo mtangazaji ni mchochezi akapimwe mkojo na kukaguliwa ndani mwake maana jina la taifa haliundwi na mtu mmoja au wawili bali ni kamati za uongozi wa pande zote mbili kupitia mjadala na baada ya maazimio ndo umma unapewa taarifa za mabadiliko ya nchi zao kupitia kitengo husika kiutawala.
Hyo ya mtangazajinmeiruka .
kwani yule mzee iqbal si aliwahi hojiwa tafuta mahojiano yake utaujua ukweli SITAKI KUPIMWA MAFUA MIYENasikiliza TBC kwenye kipindi hiki cha saa tano na nusu (mirindimo) mtangazaji anazungumzia kuundwa kwa jina la TANZANIA ! akisema imetokana na Tanganyika na zanzibar lakini kilichonichefua.. ni pale anaposema herufi mbili za mwisho IA. zinawakilisha jina la mtu aliyebuni jina hilo na Dini yake yaani (Iqbar) (Ahmadiya..) hiyo moja ni Taasisi ya Dini na hilo jina lake..
Kinacholeta ukakasi ni hivi kwenye redio ya Taifa unapotaja taasisi ya dini kuunda jina la Taifa unakuwa umekusudia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wote humu ndani wangekuwa kama wewe Nchi hii ingekuwa mbali sana.! Ahsante mkuu.. wapeni hizo nondo baadhi ya watangazaji makanjanja wanaopotosha jamii yetu.Kwa kua kiswahili ni mchanganyiko wa lugha kadhaa ikiwepo kiarabu bas kubaliana nami katika katika uchambuz huu mdogo kwa kua ni emperical, kiambishi tamati 'iya' (kwa kiarabu) au 'ia'(linavyotamkwa kwa kiswahili ) inamaana "wafuas wa" au "wakazi wa" au wanaotokana na" n.k yaan kiambishi hicho tamati kwa lugha ya kiarabu kinanasibisha /husuanisisha /kitu/vitu, mtu/watu, mahali n.k na kilichitajawa hapo nyuma na neno hilo linaloishilia na kiambishi 'iya' au 'ia'. Mifano ni kama ifuatayo
1. Ahmad ni jina la mtu, linapoongezwa neno 'iya' yaan 'ia' kua ahmadiya maanake ni kua huyo ni mfuasi wa ahmad, mfano Juma ni ahmadiyya
2. Saudi ni jina la mtu, Saudia maanake ni wafuasi wa saudi, kwa nchi ya saudia neno linatokana na mfalme alietwa saudi kwa hiyo vizazi vyake na wanaoishi alipoisho yeye ndo maana paitwa saudiya
3. Africa, ukisema afrikiya maanake anaetoka sehem inyoitwa africa n.k
Mifano ipo mingi sana ya kuweka hapa lkn kiujumla kiambishi ''iya'' yaani 'ia' kinanasibisha/kuhusianisha kilichotajwa na neno lenye kiambishi hicho tamati "ia"
Turudi katika neno Tanzania
Hapa kuna maneno matatu yaliungana mawili (yaan ya mwanzo) kati ya hayo yamepunguzwa baadhi ya herufi;
Tanganyika = Tan
Zanzibar = Zan
Iya = ndo kile kiambish tamati ''ia"
Kwa hiyo basi Tan+Zan+ia=Tanzania
Kwa kuzingatia maana ya kiambushi tamati "iya" yaani "ia" Tanzania maanaake ni mahali panapotokana na sehem mbili (majina mawili ambayo ni tanzania na zanzibar)
"Battle with your situation"
et al