Hivi Tanzania Imelaaniwa?????

Mkuu pasport ya kwenda uganda unapata siku hiyohiyo kila wilaya hapa tanzania hasa hizi za 1yr
 
kwa hiyo na mimi nikikuuliza mama yako amelaaniwa? au wewe ni m@#s$%nge? utajisikiaje uwe na heshima unapoandika, Tanzania ni nchi ina watu zaidi ya milioni arobaini kusema imelaaniwa ni ukosefu wa akili

Kweli we ni mzalendo
 

Ndio maana tunaitaka TANGANYIKA hii TANZANIA haieleweki..........
 

Huyu kijana alikuwa anaiwakilisha Tanzania wapi? Na wakati akiiwakilisha Tanzania alikuwa anasafiri kwa passport ipi? Naogopa kuwalaumu uhamiaji bila kupata kusikia version yao ya sababu za kumnyima huyu kijana passport.

Tiba
 
Huyu kijana alikuwa anaiwakilisha Tanzania wapi? Na wakati akiiwakilisha Tanzania alikuwa anasafiri kwa passport ipi? Naogopa kuwalaumu uhamiaji bila kupata kusikia version yao ya sababu za kumnyima huyu kijana passport.

Tiba

uko sahihi ni muhimu kusikia upande wa pili. lakini kwa mfano yeye ni mganda,kwanini aje aombe passport ya tanzania na si ya 'kwao uganda'??? kwa football ranking uganda wako juu ya tanzania asingepata advantage yoyote kwa kuchukua passport ya tanzania na kuacha ya uganda/kenya.
 


unapaswa kujua vizuri historia yako na familia yako.
Sasa kama wao wanakuuliza ulizaliwa wapi hujui.
Umesoma shule gani hujui.
Ulizaliwa tarehe ngapi hujui.
tena na matatizo ya wanaosoma nje kujifanya hawajui "kiswahili" unattegemea nini hapo?:eyebrows:
 
Umesema kweli: ni vizuri kupima mambo:

alienda kuomba passport; je alipeleka cheti cha kuzaliwa?
Je, alikuwa na data zozote za kuthibitisha kwamba amezaliwa TZ?
ukiwa na data na unajua historia yako kwa nini unyimwe passport?

:nod:
Huyu kijana alikuwa anaiwakilisha Tanzania wapi? Na wakati akiiwakilisha Tanzania alikuwa anasafiri kwa passport ipi? Naogopa kuwalaumu uhamiaji bila kupata kusikia version yao ya sababu za kumnyima huyu kijana passport.

Tiba
 
Umesema kweli: ni vizuri kupima mambo:

alienda kuomba passport; je alipeleka cheti cha kuzaliwa?
Je, alikuwa na data zozote za kuthibitisha kwamba amezaliwa TZ?
ukiwa na data na unajua historia yako kwa nini unyimwe passport?

:nod:

Ndugu yangu tunaweza tukawa tunawabebesha uhamiaji mzigo wa lawama bure kumbe mwombaji passport ndiye aliyekuwa na matatizo. Sioni ni kwanini uhamiaji wakunyime passport kama umetimiza vigezo vyote vinavyotakiwa. Suala la rushwa ni kweli lipo lakini wanadai rushwa kwa wenye haraka au wasiokuwa na sifa na hivyo wanataka wapewe favor, otherwise unaweza kuanza hatua ya kwanza mpaka mwisho bila kutoa hata senti tano ya rushwa endapo mambo yako yote yako sawa na hauna haraka.

Tiba
 
mimi nilipata passport yangu within 10 days.kila kitu nlipeleka kama walivyotaka sikutoa rushwa yoyote
 
Hapa kuna maswali mengi yanakosa jawabu. 1. Uingereza waliwasiliana naye vipi kabla ya kumwona hata watake kumjaribu? 2. Alikuwa na utambulisho, uthibitisho wowote kutoka Uingereza kwamba anahitajika kwa majaribio? 3. Baina ya Tanzania ambayo kwa faida ya mtoa hoja imemnyima raia wake pasi ya kusafiria na Uganda iliyopora raia wetu kwa tamaa ya umaarufu kisoka, ipi inapaswa kuambiwa imelaaniwa? 4. Kwa raia chini ya miaka 18 kama huyu, Hati ya kusafiria itatokaje bila ya idhini ya wazazi wake? Au nao wamekula njama naye 'kujiripua'? 5. Kabla ya kuwasilisha uzi huu jamvini, mtoa hoja alijiridhishaje na usahihi wa kauli ya mlalamikaji? Aliwahi kuwahoji Uhamiaji, TFF, wazazi wa huyo kijana ili apate upande wa pili wa swala lenyewe?
nadhani kabla ya kuishuku Tanzania, kulipaswa kujibiwa kwanza maswali haya na kama haya.
 

1.e mails/mtandaoni
2.kwa maelezo yake alikuwa na vithibitisho
3.inategemea utachukuliaje...kwangu mimi mwenye laana ni anaetupa mwanae sio anaemuokota na kumu-adopt
4.hamna sehemu nimesema ana under 18[anachezea under 21]
5.hii habari nimemsikia kijana huyu akihojiwa live kwenye tv kupitia skype....sina muda wa kwenda uhamiaji,tff....wao wakanushe maanake ilikuwa live kwenye kituo cha tv

unajua hata mimi nilipata passport yangu within a week bila kutoa hata sumni lakini hilo halinifanyi kuamini kuwa kila mtu anapata passport kirahisi. unaweza ukawa na kila kitu lakini kwa ukosefu wako wa information hawa jamaa wakaamua kukuyumbisha na kama huna back up[hela??] inakula kwako.
 

hata mimi nilipata passport yangu within seven days bila kutoa rushwa yoyote,lakini hii haina maana kuwa kila mtu anapata easy ride.unaweza kuwa na kila kitu lakini huna info fulani na kujiamini hawa jamaa lazima wakuyumbishe na hapa ndio kama una back up[hela??] unapata kama huna unapigwa chini.

mnataka kusema hawa immigration ni saints???if not may be this boy is one of the many victims.
 

Aliendaje hilo bila passport yetu
 
ukienda kupata passport kiuhalali pale uhamiaji ni tatizo lakini cha ajabu raia wengi wa nje wanamiliki passport zetu je wanazipataje? imefikia hatua watu wanaziuza nje ya nchi na hasa kwa watu wa west afika ambao wengi ni wauza unga au wanafanya shuguri za kitapeli huyo jamaa ana haki ya kukataa kuichezea Tanzania kwa kama nchi walimnyima haki yake ya msingi .
Nakumbuka wakati nachukua passport jamaa walichukia kwani pamoja na kutimiza vigezo vyote walitaka rushwa sikuwapa na pia nilikuwa na mtu aliyenisimamia
 

nimemsikiliza kwa makini huyu dogo. kwanza walimzingua morogoro akaenda dom akakipiga copa cocacola kupitia mkoa wa Dodoma. Mimi nimekubaliana naye lakini kwa uchungu aliposema hana mpango wa kuichezea tanzania hata akija kupata nafasi ya kuitwa kwani alichofanyiwa hataweza kukisahau. Ilinisikitisha sana kwa kweli halafu TFF wakawa wanadai wako kwa ajili ya kutengeneza soka la TZ. THIS IS A SHAME
 
Hii nchi imejaa mijitu mikatili sana na hata humu imo utaiona tu!Nchi za wenye akili wakiona mtu ana kipaji wanamshawishi abadili uraia hapa kwetu kipaji kinaweza kukupeleka jela!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…