rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,531
- 6,616
Nlimuelewa sana kwenye hiyo ngomaDa hiyo ID yako imenikumbusha "nini dhambi kwa mwenye dhiki"
R.I.P fatha nelly
Nlimuelewa sana kwenye hiyo ngomaDa hiyo ID yako imenikumbusha "nini dhambi kwa mwenye dhiki"
R.I.P fatha nelly
kwani sio langu kusudio...nihirumie....vile umenuna unaniweka rohoooo juu babyMbona umenunaaaaaa na hauchekiiii tenaaaaaaa najuta naogopaaa rohoo inaniumaaaaaa ..... Rnb Kali kabisa sijui naevalipotelea wapi
Refarii kauzu uwanja wenyewe mkavu, ajira ngumu, kilichobaki ni kucheza rafu ,tumechoshwa na ukabaila, ubepari na ubeberu ,wakati ndio huu..... Daaaah manina walahiWakati huo wasanii walikuwa wanaimba kuhusu maisha na hali halisi iliyokuwepo,
" hii kamba ngumu,tunavutana na wenye nguvu,vitambi na mashavu, hakuna tena fair game referee kauzu" huu mstari tunauishi sana
RIP Faza NellyRefarii kauzu uwanja wenyewe mkavu, ajira ngumu, kilichobaki ni kucheza rafu ,tumechoshwa na ukabaila, ubepari na ubeberu ,wakati ndio huu..... Daaaah manina walahi
Niga jay, wakati huoNaahidi kuwa makini mpaka siku nafukiwa chini Mungu aliye hai bado yupo na mimi,MC shika vizuri karibu tawi litakatika na kwa wote mlio juu na chini sauti itafika...........Rap siyo lele mama kama wengi mnavodhani,fasihi iliyohai kuitoa jamii kizani,miaka ya 80 hip hop bongo ilichipua nadhani wale wakongwe wa Rap hii munaitambua,hali ilikuwa mbaya miaka ya 89 watu hawakutaka kuelewa Rap kabisaa,miaka ya 90 Hip hop ya bongo ilikubalika wenye nia nzuri na Rap tunawajibika.........Rap ni wito yataka utashi na ufahamu Elimu ya mtaani pia kujituma pia ni nidhamu,wasanii wenyewe wa bongo tunafanya tudharauliwe watu viwango vidogo hawataki washauriwe wanaongea Blaa! Blaa! Vijino viwe,na wanavunja miko ya Rap waheshimiwe,wengine wanatumia kivuli cha Rap kufanyia uhuni,hii ni sawa na kupanda ngazi kuelekea mbinguni .
Hapa ndiyo unajua watu walikuwa wanaumiza vichwa kutunga mistari
Anaishi Sinza, anafanya Kazi ISLAMIC FOUNDATIONS, Morogoro, TV Iman na Radio ImanBalozi yuko kwa Trump,ila Saigon sijui kapotelea wapi
Wachaaaaa.Naahidi kuwa makini mpaka siku nafukiwa chini Mungu aliye hai bado yupo na mimi,MC shika vizuri karibu tawi litakatika na kwa wote mlio juu na chini sauti itafika...........Rap siyo lele mama kama wengi mnavodhani,fasihi iliyohai kuitoa jamii kizani,miaka ya 80 hip hop bongo ilichipua nadhani wale wakongwe wa Rap hii munaitambua,hali ilikuwa mbaya miaka ya 89 watu hawakutaka kuelewa Rap kabisaa,miaka ya 90 Hip hop ya bongo ilikubalika wenye nia nzuri na Rap tunawajibika.........Rap ni wito yataka utashi na ufahamu Elimu ya mtaani pia kujituma pia ni nidhamu,wasanii wenyewe wa bongo tunafanya tudharauliwe watu viwango vidogo hawataki washauriwe wanaongea Blaa! Blaa! Vijino viwe,na wanavunja miko ya Rap waheshimiwe,wengine wanatumia kivuli cha Rap kufanyia uhuni,hii ni sawa na kupanda ngazi kuelekea mbinguni .
Hapa ndiyo unajua watu walikuwa wanaumiza vichwa kutunga mistari
Unafika hukuWachaaaaa.
Kaka uko vizuri aisee.
Ndio nimefika leo. 😂😂😂Unafika huku
Hujapotea kweli au ndiyo upo kama samaki unafika mpaka marekani lakini hupajui unarudi tena tz.Ndio nimefika leo.
Hahaaaa. Jamaani Kaka. Kweli nimepotea njia aiseee. 😂😂😂😂Hujapotea kweli au ndiyo upo kama samaki unafika mpaka marekani lakini hupajui unarudi tena tz.