Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Upo sawa mkuu ata mi bainafsi nachukia sana yale mavazMimi sijui niseme ni mshamba au vipi, ila siku hizi kuna style ya mavazi kwetu wanaume, yani siielewi kabisa.
Utakuta kijana mkubwa tu, tena anaonekana anajielewa kabisa, na mwingine ana mwili mnene, ila anavaa kikaptula kinaishia mapajani, na huo ndo mtoko kabisa na yupo free. Kuna vingine vinabana na vingine vipo loose.
Nadhani something is wrong somewhere, ila tuwe makini katika kucopy styles. Sio kila style inafaa. Utakuta mtu ana kikaptula hicho kifupi, yupo kwenye basi anasafiri. Kwanini basi kama unacho usiwe unakivaa ukiwa home tu na wife.?
Nway, I think we have to change!
Sasa mbaya zaidi unakuta ni cha rangi ya pink,njano au nyekundu!Mimi sijui niseme ni mshamba au vipi, ila siku hizi kuna style ya mavazi kwetu wanaume, yani siielewi kabisa.
Utakuta kijana mkubwa tu, tena anaonekana anajielewa kabisa, na mwingine ana mwili mnene, ila anavaa kikaptula kinaishia mapajani, na huo ndo mtoko kabisa na yupo free. Kuna vingine vinabana na vingine vipo loose.
Nadhani something is wrong somewhere, ila tuwe makini katika kucopy styles. Sio kila style inafaa. Utakuta mtu ana kikaptula hicho kifupi, yupo kwenye basi anasafiri. Kwanini basi kama unacho usiwe unakivaa ukiwa home tu na wife.?
Nway, I think we have to change!
Sasa mbaya zaidi unakuta ni cha rangi ya pink,njano au nyekundu!
Huyu mwenye high hills na kaputula ya blue ana guu la chupa ya bia kama sisi dada zake.Mashoga ao serious am telling you bro mtu anayejielewa kujiheshimu na kutunza utu wake hawezi vaa hivyo akaenda mazingira public
Mi naogopaga kuonuesha sehemu za mwili wangu sijui kwanii hata hizi kaushi/fulani siwezi tembea nayo mtaaniHuyu mwenye high hills na kaputula ya blue ana guu la chupa ya bia kama sisi dada zake.
Huyu jamaa hili lilikuwa tangazo la biashara Uingereza sikumbuki ilikuwa ni ITV au Chanel 4Mi naogopaga kuonuesha sehemu za mwili wangu sijui kwanii hata hizi kaushi/fulani siwezi tembea nayo mtaani
Mkubwa huwa unapiga hivyo vikaptura vifupi vya bright colors?Kila vazi linafaa kulingana na nyakati na mazingira husika.....kulingana na utashi wa mhusika......
Ukomavu ni pamoja na kujua kuwa kila mtu hawezi kuishi kulingana na maoni yako na mtazamo wako......
Mimi si mpenzi wa hayo mavazi lakini siwezi kukereka na vazi la mwingine kwa kuwa ni maisha yao.....
DUNIA NI MSONGAMANO
KUISHI KWINGI NI KUONA MENGI
Msome vizuri KikulachoChako utaelewa.....maswali mengine huwezi uliza otherwise hujaelewa kilicho andikwa nae.Mkubwa huwa unapiga hivyo vikaptura vifupi vya bright colors?
Mkuu kaptura wengi wanavaa, ila kaptura ya kiume ni pana na ndefu chini ya goti. Mwanaume kuvaa kikaptura kifupi kinachobana cha rangi nyekundu inashangaza kidogo!