Hivi style ya 'kikaptula' ya wanaume wa siku hizi imekaaje?

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
1,730
2,388
Mimi sijui niseme ni mshamba au vipi, ila siku hizi kuna style ya mavazi kwetu wanaume, yani siielewi kabisa.

Utakuta kijana mkubwa tu, tena anaonekana anajielewa kabisa, na mwingine ana mwili mnene, ila anavaa kikaptula kinaishia mapajani, na huo ndo mtoko kabisa na yupo free. Kuna vingine vinabana na vingine vipo loose.

Nadhani something is wrong somewhere, ila tuwe makini katika kucopy styles. Sio kila style inafaa. Utakuta mtu ana kikaptula hicho kifupi, yupo kwenye basi anasafiri. Kwanini basi kama unacho usiwe unakivaa ukiwa home tu na wife.?

Nway, I think we have to change!
 
Upo sawa mkuu ata mi bainafsi nachukia sana yale mavaz
 
Sasa mbaya zaidi unakuta ni cha rangi ya pink,njano au nyekundu!
 
alikiba-amvunja-mbavu-perfecto-wa-cloudz-kwa-kibukta-alichovaa-youtube-thumbnail.jpg
 
Kila vazi linafaa kulingana na nyakati na mazingira husika.....kulingana na utashi wa mhusika......

Ukomavu ni pamoja na kujua kuwa kila mtu hawezi kuishi kulingana na maoni yako na mtazamo wako......

Mimi si mpenzi wa hayo mavazi lakini siwezi kukereka na vazi la mwingine kwa kuwa ni maisha yao.....

DUNIA NI MSONGAMANO

KUISHI KWINGI NI KUONA MENGI
 
Mkubwa huwa unapiga hivyo vikaptura vifupi vya bright colors?
Mkuu kaptura wengi wanavaa, ila kaptura ya kiume ni pana na ndefu chini ya goti. Mwanaume kuvaa kikaptura kifupi kinachobana cha rangi nyekundu inashangaza kidogo!
 
Back
Top Bottom