Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Mimi sijui niseme ni mshamba au vipi, ila siku hizi kuna style ya mavazi kwetu wanaume, yani siielewi kabisa.
Utakuta kijana mkubwa tu, tena anaonekana anajielewa kabisa, na mwingine ana mwili mnene, ila anavaa kikaptula kinaishia mapajani, na huo ndo mtoko kabisa na yupo free. Kuna vingine vinabana na vingine vipo loose.
Nadhani something is wrong somewhere, ila tuwe makini katika kucopy styles. Sio kila style inafaa. Utakuta mtu ana kikaptula hicho kifupi, yupo kwenye basi anasafiri. Kwanini basi kama unacho usiwe unakivaa ukiwa home tu na wife.?
Nway, I think we have to change!