Hivi Somo la 'Computer Mathematics' katika ICT lina faida? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Somo la 'Computer Mathematics' katika ICT lina faida?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by qq.com, Feb 22, 2012.

 1. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wakuu napiga diploma ya ICT,sasa kuna hili somo la computer mathematics lakini naona kama napoteza muda vile.lakini mwalimu kanieleza kuwa kama nina ambition ya kujiendeleza juu lazima niwe na msingi wa hilo somo.

  najua humu kuna waliopitia hivi vitu ,je kweli lina maana? kumbuka mimi nasoma ICT kuelewa siyo kutafuta makaratsi(VYETI) hivyo naomba jibu kwa kulenga hapo.

  nitashukuru

  By
  QQ
   
 2. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  We vipi?
  Soma,Soma,Soma husibague!
   
 3. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  computer mathematics ndio somo gani. Do u mean Logic mathematics?

  Maana kwenye computer na electonics its all about 0s an 1s na branch ya hesabu inayodeal na a 0 and 1 au AND, OR , TRUE vs FALSE etc. hesabu inaweza kukupa msingi mzuri hata kwenye programming

  [​IMG]

  Kwa mtazamao wangu Hesabu ni muhimu kama unataka kuelewa baadhi ya mambo kwa detail kiundani lakini sio muhimu kivile. Lakini msikilize mwalimu.
   
 4. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ingawa mi sijapitia huko, ila ushauri wa haraka haraka ni kuwa we soma tu.
  Kama lipo kwenye mtaala inabidi usome tu hivyo hivyo. Ingawa sijui level yako ya elimu, lakini naamini kabla ya kufikiria kusoma mambo hayo lazima utakuwa umepita pita mashuleni, swali ni: Je, Engineer au MD pale chuo kikuu masomo wanayosoma kule yanahusiana na masomo mangapi aliyosoma O-Level au A-Level?
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kweli haujaeleweka Computer Mathematics ni nini hasa, ila inategemea na ni kitu gani unataka ufanye, math ni muhimu kwenye specific field za computer ila ni chache na very specialized.
   
 6. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  ndiyo hilo nafikiri huyu kachanganya tu!
  ni somo zuri sana
   
 7. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nashukuru,ni hilo somo.Si unajua U-anafunzi!
  ngoja nijitahidi lakini naona ni gumu kiasi ,as if napoteza muda wangu kusoma mambo ya 'mtu wa kwanza kuona ziwa victoria ni Malkia victoria"
   
 8. i

  iMind JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Wewe unasoma ili uweze ku apply some ict tools, lakini siyo kuelewa ict. Hicho ki diploma chako hata siku moja isijidanganye kuwa kitakuwezesha kuelewa ict. ukizingatia hata simple boolean algebra zinakupa shida. Pole sana
   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona unamkosoa ?badala ya kumpa faida kinachotakiwa kama alivyoelezwa na Mwalimu wake asome masomo yote ya ICT sio kuchagua hili au lile sisi Wa Tanzania tunapenda kuchaguwa vitu rahisi kusoma tumekuwa wavivu sana.
   
 10. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  math yenyewe mwalimu akuambie innnnaaply wapi kwenye komputer but mm naona ni njia moja wapo ya kusupp ndo elimu ya bongo bana mtu ni mtalamu wa komputer kwekwe but anasupp computer math mm ninafiki walioweka mtahala awajui nn maana IT
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kama ni moja ya somo unalotakiwa kulisoma lisome kwani umuhimu na manufaa yake utajayaona baadae
   
 12. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Dah we jamaa wangapi na diploma zao wanafanya mambo makuu...kwenye industry wewe unakosoa...humu tungekuwa tunajuana wengine msinge changia....mshauri kuhusu alicho uliza na sio kumwambia the whole program haimsaidii...
   
 13. d

  dav22 JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mara nyingi masomo mengi katika system yetu ya elimu ni hapa bongo unaweza shindwa maana yake but kama vipi we gonga shule hiyo tu umalize diploma yako........
   
 14. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  cyo uvivu but understanding capacity inatofautina
   
 15. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  sasa hili ni jibu la suali ama ushauri?
   
 16. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  dhumuni lake ni just ku expand your mind.hesabu all in all ni kuexpand ur mind. Just go kwenye vyuo visivyo vya serekali like APtech or Newhorizon and LEARN it and see.. These guys hawasomi hesabu, yet wanatoa very proffessional people on computing industry but goverment mara nyingi vyeti vyao huwa hawavitambui, pia ni very expensive vyuo vyao

  So ndugu yangu jitahidi tu utoke,upate hata passmark kwenye hiyo math!! i iwsh you the best
   
 17. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  jamaa lakini amerequest afahamu umuhimu wa hilo somo kwa ajili ya hapo baadae sasa hv!!
   
 18. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 803
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Kama angesoma PCM au PCB A-level mambo yote yangekuwa mtelemko kwake,Pure math-"set n logic",physics-"logic gate-electronics".Sasa hapo ndipo kwenye faida ya kusoma A-level.
  Hesabu ni muhimu sana kwasababu inakufanya uwe na uwezo mkubwa wa kufikiri.
   
 19. i

  iMind JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Unajua bongo tuna matatizo. Mtu akijua kuinstall windows xp tu na kuinstall printer tunamwita mtaalamu, IT expert, IT specialist na majina mengine mengi. Wakati mwingine nashindwa kuelewa where are we heading. Tutaendelea kusupport technology kwa tunaitana majina yasiyostahili.

  Lengo langu hapa nilikua nampa tahadhari dogo asije akaishia na kidiploma chake akajiona amejua technolojia. Nchii hii haina IT specialist au Expert kwa definition yangu.
   
 20. F

  Fahari MJ JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ebu na wewe acha kupotosha . Au tujibu maswali haya

  -Wewe kwenye IT umespecialize kwenye nini ?
  -Kuspecialize kwenye IT unahitaji Degree, au master au Phd?
  -Mbona kuna "maspecialist" ni wakali kutoka Ulaya na India n hata wa tanzania hawana hata Degree just hiz diploma then wanaamua kukomaa ni kitu kimoja iwe ni netowork, Database, Programming Hardware, OS, Applicatin software...

  Tanzania haina specialist sababu hakuna mahitaji ya special specialist.... Mahitaji yakiwepo ya kutosha watu wataspecilize tu. Hivi sasa watu tunatwanga voyte database, Network , desktop support , OS . Programming , etc

  Sio lazima kusoma PCB au PCM au Alevel Hizo hesabu wengine hata O- levlel wameyasomahayo kwenye Addional mathematics. Tusikariri kuwa kuna path moja kufika destination fulani . Na wengine wanaweza kusoma hesabu hizo hizo College. Cha msingi ni kuelewa.
   
Loading...