@Fahari, most specialist i have seen they have at least masters degree and phd with practical experience of couple od years. Kwa definition yangu specialist or expert say network expert is some one who can design say a communication protocol kama bluetooth, wifi etc. Definition yetu mtu anaye configure router mnamwita network expert.
Ngugu Fahari database expert is one who can design and implement a dbms kama ms sql, mysql etc.
Mimi siyo specialist ni computer politician.
iMind tell me u re not talking of IT specialist. May be unaongelea Wanasheria na madaktari. Or may be unaongelea IT lecturers .Computer speclialist wengi hata ulaya hawana hata Masters ( Uness wako kwenye vyuo). Kifupi Watu wengi wana masters na phd wala sio IT specilist in practical sense. Or U re talking of theory ya lectuerer kuchora ubaoni ndio specialist kwako ???????
Please usiwakatishe watu tamaa wala usiseme kwa definition yako. Kuna mashirika na makampuni Kama CISCO MiROSOFT etc ndiyo yana haki na kuaminiwa kutambua who is specilist in what and who is not and what he can do. Kwanza Ukisema network speaicliast ina uwanja mpana Network yenyewe kubwa kuna wirelss na wired. Na hizo pia kuna mengi....
Sasa unadharau mtu anayeconfigure router!!!!!!!????? Inategemea ana fanya cofiguration katika level gani kama mtu anaweza kwenda ku configre na kuset routing table akachagua na kujua protocol gani ya routing kati ya BGP, OSPF, RIP inafaa katika network fulani huyo ni specialist ...
Na database expert sio lazima aweze kufanya yote hayo .Hiyo sio specialisation. Mimi mwenyewe nina theory ya mambo yote hayo kwenye database .Ukiongolea specilisation maana maana kwenye database unachagua kudeeal na kitu fulani tu. May be just desingnig. kuna wengine wanaspecilise kwenye Data mining tu. Huwezi kuwa specialist wa kuesing ukawa spacialist wa kuiipliment datasabe Databse is so huge...........
Degree au Master haikufanyi kuwa Specialist wa Customer/ Desktop Support au Application software Support, au Game developer.
NB
Una specialise through training na practical experince Huwezi kuspeclize kwa Eduction hata kama una PHD. Education inakupa msingi na general skill . Training kama za CISCO, MICROSOFT, CITRIX etc ndio zinaufanya uspeacilize Tofautisha Education( UDSM, IFM, OXFORD etc na training( CISCO, MICOSOFT CompTIA A+) .