Hivi sisi watanzania ni binadamu original?

Hivi sisi watanzania ni binadamu original?

Huyu na watu wake ndo watu tu
 
Attachments

  • 1485235911426.jpg
    1485235911426.jpg
    22.8 KB · Views: 37
Ni mfumo tu wa kijamaa ulitufanya mazuzu kabla ya hapo makabila mengi yalikuwa hayataki ujinga kumbuka vita vya majimaji.
Nakuunga Mkono maana zile sehemu ambazo Nyerere hakuanzisha Ujamaa kama Kilimanjaro watu ni Wajanja sana
 
Kwa yanayoendelea hapa nchini na jinsi umma wa watanzania unavyochukulia mambo haya, ,nina swali moja tu linalouliza kama ifuatavyo.

Hivi sisi watanzania ni binadamu "original" kama walivyo watu wa mataifa mengine au sisi ni binadamu "fake"?

Kabla hujasema nafanya utani,think twice first.
Unakumbuka maneno aliyosema marehemu Kenyatta kwa mwalimu miaka hiyo? Kuhusu watu anaowaongoza? Ni pm kama huyajui maana nikiyaweka hapa yataonekana ni matusi makubwa yenye ukweli kwetu Watanzania
 
Unakumbuka maneno aliyosema marehemu Kenyatta kwa mwalimu miaka hiyo? Kuhusu watu anaowaongoza? Ni pm kama huyajui maana nikiyaweka hapa yataonekana ni matusi makubwa yenye ukweli kwetu Watanzania
Mkuu,nayajua vizuri na ni ukweli mtupu.
 
Yaani sisi ndio original sasa hao wengine ndio fake
 
Tuna manyumbu wengi sana, leo wataambiwa fulani ni fisadi kesho watamchukua kama mgombea wao na bado wakamuamini.
 
Tuchukulie mfano wa Chidi Benz na Ray C,kama teja lolote ukisha onja madawa ya kulevya ikakuingia umekwisha
Hata nani akwambie na mwenyewe uone kuwa yanakuumiza husikii wala huelewi
Tanzania ni nchi ya mateja wa Ujinga na Upumbavu hakuna wa kuwanasua mpaka kizazi hiki kitokomee kuzimu
 
Nimekusoma makuu.

Unajua vizazi vijavyo vitakuja kutulaumu sana sisi watanzania wa Leo Kwa kuwaacha wataala wahujumu nchi hii maana sijui watarithi nini wao!
Jamani, Hakuna kizazi cha kulaumu Mtu, watoto wenyewe wanakalili miziki na kukopy ujinga ujinga tuno ufanya, unadhani kunjipya???? Lakini kama sisi wazazi tumeshindwa kujitambua mtoto ndio aweze, dark contonent with dark people it who we are!!!!
 
Kwa yanayoendelea hapa nchini na jinsi umma wa watanzania unavyochukulia mambo haya, ,nina swali moja tu linalouliza kama ifuatavyo.

Hivi sisi watanzania ni binadamu "original" kama walivyo watu wa mataifa mengine au sisi ni binadamu "fake"?

Kabla hujasema nafanya utani,think twice first.
Huo utani wako, kila mwenye akili timamu hujiuliza lakini ni ngumu kupata jibu.
 
Jamani, Hakuna kizazi cha kulaumu Mtu, watoto wenyewe wanakalili miziki na kukopy ujinga ujinga tuno ufanya, unadhani kunjipya???? Lakini kama sisi wazazi tumeshindwa kujitambua mtoto ndio aweze, dark contonent with dark people it who we are!!!!
Mkuu unachosema ni kweli kabisa lakini hatuwezi kurekebisha tena ni ngumu Serikali imeingilia msingi wa malezi ktk familia.
Kwa sasa mtoto anakosea akichapwa anakupeleka polis na sheria zinamlinda.
Baba anae itwa Dad na mtoto na Baba huyuhuyu anaitwa Baby na mke wake tena mbele za watoto suluari kata K unategemea malezi bora?
 
Tulimwacha MUNGU kitambo.

Kwa yanayoendelea hapa nchini na jinsi umma wa watanzania unavyochukulia mambo haya, ,nina swali moja tu linalouliza kama ifuatavyo.

Hivi sisi watanzania ni binadamu "original" kama walivyo watu wa mataifa mengine au sisi ni binadamu "fake"?

Kabla hujasema nafanya utani,think twice first.
 
mmh !! hata mie na shaka, Lakini kwa heshima na taadhima inasikitisha kuona maadili yetu yalivo toweka kwa kasi !!
Mkuu inauma kuona taifa linaangamia kwa kujifunza ujinga ujinga kwanza pita uswahilini angalia vijana wanavyoteswa na Bangi na madawa ya kulevya kwa ujumla piga picha miaka 15 tutakuwa wapi?
 
mkuu mm nilishawahi kuwambia watu siyo bure kuna kitu watanzania walifanyiwa au wanafanyiwa kwa sababu kiukweli hatujitambui. wananchi Wa nchi nyingine hawapo kama sisi
 
Nimekusoma makuu.

Unajua vizazi vijavyo vitakuja kutulaumu sana sisi watanzania wa Leo Kwa kuwaacha wataala wahujumu nchi hii maana sijui watarithi nini wao!
Mkuu kama una ushauri au jibu nini kifanyike weka hadharani tuanze sasa watawala hawatahukumiwa peke yao maana sisi wana inchi ndio tunawapa dhamana !
Kwani uchaguzi wa juzi alaumiwe nani ?
Au walio piga kura ni ma zombie?
 
Nadhani sio wa TZ pekee hili ni suala la AFRICA kiujumla, binafsi nimekua nikiuliza sana hili swali
 
mkuu mm nilishawahi kuwambia watu siyo bure kuna kitu watanzania walifanyiwa au wanafanyiwa kwa sababu kiukweli hatujitambui. wananchi Wa nchi nyingine hawapo kama sisi
Mkuu ukimnyima Elimu binadamu ukamfanya tegemezi anakuwa hajielewi hata ukimpiga atarudi kuomba samahani kana kwamba hujamkosea yeye ndie anakosa.
Watanzania ni kondoo hata uwachinje hawatoi mguno ndio tulivyo asisiwa usitegemee jipya,
 
Nadhani sio wa TZ pekee hili ni suala la AFRICA kiujumla, binafsi nimekua nikiuliza sana hili swali
Si Africa yote maana wenzetu Kenya wana diriki kufanya, Nzanzibar , Gambia, Nigeria, Egypt, Zambia, Tunisia Hata Burundi tatizo ni ung'ang'anizi wa madaraka ya watawala lakini wana inchi wana jitahidi.
 
Back
Top Bottom