Hivi sisi watanzania ni binadamu original?

Hivi sisi watanzania ni binadamu original?

Nadhani ni watz ni mfano wa binadam...maana nidhamu ya uoga imetutawala

Mungu ni wa ajabu sana, wana wa Israel ilifika kipindi wakakata tamaa kuwa hawawezi tena kutoka utumwani, sisi watanzania kitakachotutoa hapa tulipo ni nature na nature iko inatuvuta taratibu naogopa sana kona Kesho nasikitika sana maana hata watu wa Usalama hatari ya kesho nao hawaioni kama mimi ninavyoiona, bora nife leo kuliko kuiona kesho ya kuletwa na nature, mi bado naamini Mungu anatupenda sana anatupa muda wa kutafakari na kuamua njia sahihi. Asante
 
Mimi pia huwa najiuliza sana kuhusu ukimya (sijuwi ni upole) wetu watanzania, yani ni kama tumepewa limbwata la kutohoji maovu ya wazi wazi kabisa ya nchi hii. Kuna wanaoamini kwamba huwa tunarogwa kupitia lile 'li-mwenge la uhuru' linalozungushwaga nchi nzima kwa kutumia mabilioni ya shilingi.
 
Sisi Tanzania ni mavampire hatujisomi na hatjielewi kiukweli tunaishi ilimradi tuamke tu.
 
Baada ya kujitathimini, naona nina kazi ya kufanya kwa ajiri ya nchi yangu!
 
Kwa yanayoendelea hapa nchini na jinsi umma wa watanzania unavyochukulia mambo haya, ,nina swali moja tu linalouliza kama ifuatavyo.

Hivi sisi watanzania ni binadamu "original" kama walivyo watu wa mataifa mengine au sisi ni binadamu "fake"?

Kabla hujasema nafanya utani,think twice first.
We are fake human being.
 
Mungu ni wa ajabu sana, wana wa Israel ilifika kipindi wakakata tamaa kuwa hawawezi tena kutoka utumwani, sisi watanzania kitakachotutoa hapa tulipo ni nature na nature iko inatuvuta taratibu naogopa sana kona Kesho nasikitika sana maana hata watu wa Usalama hatari ya kesho nao hawaioni kama mimi ninavyoiona, bora nife leo kuliko kuiona kesho ya kuletwa na nature, mi bado naamini Mungu anatupenda sana anatupa muda wa kutafakari na kuamua njia sahihi. Asante
Umeongea vizuri sana mkuu nami naamini hilo.... ila tatizo linazidi kua zito na sisi tunaliona kabisa ila tunalifumbia macho kila siku watu wanazidi kuchota hela kuacha hospitali hazina madawa,shuleni vitabu hakuna,walimu,wakulima na madaktari wanakufa njaa kwa sababu ya watu wachache ila bado tuko kimya MUNGU ATUSAIDIE TUAMKE
 
bora kukaa kmy tuu. cccm wanajua hata wakigeuza matokeo hamna wa kuandamana kwa nguv kupnga. uma wa watanzania n kondoo
 
Wana macho lakini awaoni...

Wana masikio lakini awasikii...

Wanadamu wanaangamia kwa kukosa maarifa...

Speechless 2017.
 
huu mtandao unatusaidia sana ila huko kwenye jamii yalayalayala!!
 
Kwa yanayoendelea hapa nchini na jinsi umma wa watanzania unavyochukulia mambo haya, ,nina swali moja tu linalouliza kama ifuatavyo.

Hivi sisi watanzania ni binadamu "original" kama walivyo watu wa mataifa mengine au sisi ni binadamu "fake"?

Kabla hujasema nafanya utani,think twice first.
Wewe ndio fake
 
Dah.... Tuko vizuri sana bana.... Sema tatizo kubwa tunaishi Tanzania lakini akili zetu ziko Ulaya na Marekani
 
Ni mfumo tu wa kijamaa ulitufanya mazuzu kabla ya hapo makabila mengi yalikuwa hayataki ujinga kumbuka vita vya majimaji.
 
Back
Top Bottom