Hivi sisi watanzania ni binadamu original?

Hivi sisi watanzania ni binadamu original?

Kwake li hili ni Taifa la ajabu sana katika hii dunia na sijui mungu alituumba Kwa bahati mbaya tu au alikuwa amechoka,nashindwa kuelewa.
Ni kweli inawezekana tuliumbwa mda wa majeruhi
 
Neno la Mungu linasema " watu wangu wataangamia kwa kukosa maarifa"
 
Si Africa yote maana wenzetu Kenya wana diriki kufanya, Nzanzibar , Gambia, Nigeria, Egypt, Zambia, Tunisia Hata Burundi tatizo ni ung'ang'anizi wa madaraka ya watawala lakini wana inchi wana jitahidi.
Kwanini umefikiria siasa tu, angalia Nyanja zote
 
napata shida sana na hii nchi...aliyetuloga alishakufa
Kweli bwana. Ndio maana tunadanganywa kweupe kwamba Lowassa anafaa kuwa Rais wakati tunajua vizuri historia yake. Tunakuwa wasahaulifu kama kuku! Kazi kweli kweli!!
 
Nimekusoma makuu.

Unajua vizazi vijavyo vitakuja kutulaumu sana sisi watanzania wa Leo Kwa kuwaacha wataala wahujumu nchi hii maana sijui watarithi nini wao!

I agree with you 100%, Kwa mfano Lowasa katuibia weee, lakini wewe NA wenzako mnamsafisha NA you packaged him as palatable product.

Kwanza mteme alafu tuwaamshe wenzetu kwa kianzisha list ya mafisadi bila kujali itikadi ya chama, kabila au Dini.
 
Nimekusoma makuu.

Unajua vizazi vijavyo vitakuja kutulaumu sana sisi watanzania wa Leo Kwa kuwaacha wataala wahujumu nchi hii maana sijui watarithi nini wao!
Tukisema lawama nadhani hili neno ni endelevu kutoka kizazi kimoja kwenda kingine kila kizazi kinakuwa na ujinga wake na rasilimali zake zinatumika kwa namna ya kipekee kutokana na huo ujinga. Pia ujinga hutofautiana kulingana na hatua za maendeleo unazokuwa unapitia pia ukiubaini unaweza ukauondoa.
 
Sisi ni binadamu kama wengine tofauti ni kuwa sisi ni misukule ya chama twawala...

Yaan ungemwelewa mleta mada usingetupia mpira wanachama wa ccm. Sisi wapinzani tumefanya nn kuonyesha kutoridhishwa na utawala wa ccm?
Kaz yetu kunung'unika tu! Tuko zaid ya million . Kwa uwingi wetu tukiamua kufanya jambo kwa nguvu zetu zote (kukinukisha) tusingekua hapa. Kiukweli tunamatatizo ya kimsing, hatuna maamuzi. Sio binadam wa kawaida tunaweza kuwa mfano
 
Hayo yote uliyoyaandika tafsiri yake....ndio hiyo ya kuwa sisi ni misukule...ya CCM.....

Ni msukule pekee....anayeweza kuyavumilia haya yanayofanyika humu nchini....chini ya utawala wa CCM......

Hakuna mwanadamu mwenye akili timamu na mwenye kufikiria vyema....anayeweza kukipa kura chama kilichomtawala kwa miaka zaidi ya arobaini na tano...45 bila ya kumtatuli yale aliyo muahidi......
 
Nimekusoma makuu.

Unajua vizazi vijavyo vitakuja kutulaumu sana sisi watanzania wa Leo Kwa kuwaacha wataala wahujumu nchi hii maana sijui watarithi nini wao!
Sanaaaaa huu uzuzu na uoga wetu ndo umetufanya tusiendelee
 
Mwenge ule...
Mnafikiri kuzunguka nchi nzima ni bure bure tu na gharama zote zle???
Kma tumerogwa hv
 
Kwake li hili ni Taifa la ajabu sana katika hii dunia na sijui mungu alituumba Kwa bahati mbaya tu au alikuwa amechoka,nashindwa kuelewa.
Kwa wa Tz maneno matupu hayavunji mfupa. Yaani maneno ni mengi matendo machache au hamuuuunnaa.

Wakitukanwa wanacheka saaana hadi mbavu zinawauma. Ukiwatishia hata kwa farasi watakimbia huku wakicheka sana.

Mtu yeyote anaweza kuwaongoza bila shida. Ni watu wa amani.
 
Yesii umenenaaa .......ungekua karib ningegonga tano ya nguvu.........,......watanzania atujikubalii wala kujijalii ata kidogo japo tunataka tukubalike na kujaliwa
Inabidi tuanze kuelimishana wenyewe kwanza tukishaivaa kisawasawa tutaweza amua nn cha kufanya
 
Kwa wa Tz maneno matupu hayavunji mfupa. Yaani maneno ni mengi matendo machache au hamuuuunnaa.

Wakitukanwa wanacheka saaana hadi mbavu zinawauma. Ukiwatishia hata kwa farasi watakimbia huku wakicheka sana.

Mtu yeyote anaweza kuwaongoza bila shida. Ni watu wa amani.

Hata wewe unayesoma hapa nadhani utacheka sana.

Ukimuuliza swali Mtz, atakujibu kwa swali. Eti mimi? Jina langu?..Nikutajie jina langu?

Watz wanazaana kwa wingi na kasi kubwa bila kujali hali halisi ya ukata.
 
Back
Top Bottom