Oh sawa, Lakini tupunguze siasa kwenye majukwaa ambayo sio ya siasa,
Oh, sawaWenzetu wa upande wa pili ndo wanazingua...tumevumila Sana tumeshindwa wacha tuwape za uso...husijali
....we dogo umenichekesha sana aisee,Mhhh jamani mm kitendo cha kuwa mwalimu kuwalea watoto pale sekondari na huku mtaani vijana wengi kuniita brother basi kila nikiingia hapa jf najiona mm ndio moja ya watu wazima tuliopo. Sasa mtu kuniambia mwaka 1980 alikua cjui form three nimechoka sana.
SHIKAMOONI WAKUBWA ZANGU KM NIMEWAHI KUWAKERA NAOMBA MNISAMEHE HUU NI UTOTO TU UNAONISUMBUA.