Hivi shida ni nini? Kila mahusiano nikiingia nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza mpenzi wangu anakubali

KUNA MAWILI HAPA,
1.KUNA SIFA FALNI UNAKOSA KIASI WANAKUWEKA KWENYE "WA AKIBA"
2. KWANI HAO WATE UNAKUTANA NAO WAPI? KWENYE MDUNDIKO? VILABU VYA POMBE? UNAJUA MARAFIKI WANAFANANA TABIA.
 
KUNA MAWILI HAPA,
1.KUNA SIFA FALNI UNAKOSA KIASI WANAKUWEKA KWENYE "WA AKIBA"
2. KWANI HAO WATE UNAKUTANA NAO WAPI? KWENYE MDUNDIKO? VILABU VYA POMBE? UNAJUA MARAFIKI WANAFANANA TABIA.
Sio club mtaani tu wengine kweny biashara
 
Hapo kuna mawili.

1. Unajua sana kutongoza kiasi kwamba demu kuchomoa inakuwa ngumu.

2. Mademu unaotongoza ni vilaza hawana uwezo wa kuchomoa wakitongozwa.
 
Hebu acha mambo ya kitoto bhana, ulitegemea mpenzi wako atongozwe halafu akatae? Una umri gani?
 
Hahahahah! Wewe jamaa fala kinyama! Why ufanye hivyo sasa? Wewe ukipata, piga alafu pita kushoto. Circle inaenda hivyo. Huwezi miliki mtu binafsi na kitobo chake.

Wewe jifanye kuwekeza kwenye videmu vya chuo kama movie za kikorea uje ujinyonge kwenye dabodeka.
 
Hapa nadhan tatzo n unafahamu weakness zao..... Kwahyo inakuwa n vyepesi kuwashawishi sababu unajua wanapenda story zipi, tamaa zao n zp N.k

Mfano mbinu ulotumia kumnasa binti flani..... Akitokea mtu mwingine akaitumia in a more advanced way uwezekano wa kumshawishi huyo bint n mkubwa sana...... Labda bnt anatamaa san na pesa pia anapenda maisha ya anasa na kujionesha then kipindi unamtongoza ulimuigizia umarecan mwng mpk ukamnasa... Amini kwamba akija msela mwngne mweny ndinga kali swag na pesa za kuzugia lazima alambe asali sabb ndio udhahifu wa manzi wako!!!!!
 
Sahihi bro
 
Kama ambavyo walikukubali wewe ndivyo wanavyowakubali wengine mkuu acha presha wanawake wamejaa tele ni wewe tu kuchagua wa sampuli yako unajipigia unasepa usitake kujua nani mwingine kapiga au ana mpango wa kupiga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama anaweza kukupenda wewe ,elewa kabisa hata mtumwingine yeyote atapendwa
 
Demu wako wa sasa ni demu wa zamani wa mshikaji fulani...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…