Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,878
- 4,435
Wakuu naombeni mnieleweshe jamani hivi shetani ni mweusi? Na malaika ni mweupe yaani ukifuatilia baadhi ya picha na filamu mbalimbali unaonesha kwamba tafsiri ya shetani ni weusi wake na someone ambae ana mapembe hivi hivi kuna mtu amewahi kumuona shetani? Na baada ya kumuona aka prove kwamba shetani ni mweusi? Na kuna mtu amewahi kumuona malaika kwamba ni mweupe?
Nimefuatilia kwenye vitabu malimbali vya imani hizi mbili kuu uislamu( dini ya kweli) na ukristo ila sijaona popote pale inaposema shetani ni mweusi na malaika ni mweupe
"Mwenyezimungu ni mjuzi zaidi"
Nimefuatilia kwenye vitabu malimbali vya imani hizi mbili kuu uislamu( dini ya kweli) na ukristo ila sijaona popote pale inaposema shetani ni mweusi na malaika ni mweupe
"Mwenyezimungu ni mjuzi zaidi"