Hivi Sanchoka na Mama yake, kuna anayewaelewa na hizi picha zao?

Kuna mtu ukimpata automatic unatulia, wanawake huwa Kuna design ya wanaume tunaqapenda na wao wakiwa na upendo ka wa baba zetu tunatulia nakuwa wasikivu
Hawajuagi hii,
Na wakati mwingine sio design ya mwanaume unaemzimia saana, unakuta tu basi jamaa Moyo wako umemdondokea we mwenyewe unatafuta sababu unaikosa, kwamba kwani huyu jamaa nampendea nini??? yani sijui ndio tuseme soul mate 😃!
 
Hawajuagi hii,
Na wakati mwingine sio design ya mwanaume unaemzimia saana, unakuta tu basi jamaa Moyo wako umemdondokea we mwenyewe unatafuta sababu unaikosa, kwamba kwani huyu jamaa nampendea nini??? yani sijui ndio tuseme soul mate !
Dah umeandika ukweli aisee ukimpata soul mate wako mapenzi huwa raha Sana hafu huoni makosa yake ni utii kwa kwenda mbele. Nimewahi pata soul mate moja tu basi unfortunately tuliend na sad story
 
ila kwa bahati nzuri soul mate huwa wapo kila stage ya maisha.... tatizo huja mwanaume akijua umependa!!! mana kwenye maisha kupendana sawasawa hakupo lazima upande mmoja uzidi

Na wanaume wengi hawapendi wanawake watulivu na wastaarabu, maana ndio huwatesa sana na wanaume wanapenda wanawake kichwa ngumu.
Pia wanaume wengi hufikiria ukiwa mstaarabu kwake imekufa na kuoza na huna options kumbe huwa ni kujidaganya tu, wengine wameumbwa na moyo wa upendo kwa yoyote yule Sasa wao hujiona wao ndio wao.
Kwa umri huu niliofika swala la kupenda mtu nimeshavuka hyo stage mtu anaye care nitamjali, anaye ni ignore na mimi na mu ignore kwa kweli, Ile kufa kuoza hapana, maana furaha najipa mwenyewe sitegemei kwa mtu au vitu
 
Sijui labda unawazungumzia wanaume wa huko kwenu, mwanamke mtulivu na mstaarabu ni dhahabu mbele ya mwanaume muoaji, mara chache sana wanakosa watu. Hao machakaramu wanaweza kuolewa, ila mwisho wa siku wakaishia kuachwa au wasiolewe kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom