Hivi Samia, Lissu amekukosea nini?

Hivi Samia, Lissu amekukosea nini?

Naona Lissu ndio angeulizwa Samia kamkosea nini alimpa kilakitu (Pesa,kumrudisha Tanzania, kufuta kesi zake zote, kumfungulia afanye siasa) lakini fadhila yake nikumtukana na kumdhalilisha Samia.
 
Naona Lissu ndio angeulizwa Samia kamkosea nini alimpa kilakitu (Pesa,kumrudisha Tanzania, kufuta kesi zake zote, kumfungulia afanye siasa) lakini fadhila yake nikumtukana na kumdhalilisha Samia.
CCM wanavyopenda matangazo, wangemlipa Lissu hata laki moja tu katika mishahara yake ya kibunge anayoidai mamilioni, wangeweka payment voucher humu dakika mbili tu baada ya malipo


Naamini Lissu hajalipwa hata cent Tano, anayebisha uvccm aweke ushahidi hapa.
 
Kwa kweli kama kuna anayejua jibu ya hili swali atusaidie. Huyu Samia, Lissu alimkosea nini?

Kiukweli kabisa katika mambo yanayokufanya uendelee kujiandikia historia ya doa jeusi ni hii ya kumfunga Lissu bila sababu.

Mbona una roho nzito kuliko hata watangulizi wako wa jinsia ya kiume? Washauri wako wanakuangamiza na wanacheka namna unavyoharibikiwa.
Lissu ni mwanasheria mzuri lakini si mwanasiasa mahiri sababu tu kukosa busara na hekima.

View: https://youtu.be/Pgu4VfqBGKs?si=9ZsKGWdJTSbDLh7P
 
Lissu Mimi nilimwambia biashara ya kuwapambania wajinga huwa hailipi nilimwambia tangu alipopigwa risasi


Yaani MTU Una risk maisha yako kwa watu wapumbavu Kama hawa waswahili
Who are you?
 
The system punish those who notice too much not those who act wrongly.
 
..Mama Abduli ana machungu na hasira na TL kwasababu alipokutana naye Ubelgiji alimsaidia kwa fedha, Mama anadai ilikuwa posho yake ya safari, sasa badala ya TL kuwa na shukrani akaanza kumkosoa.
Watoto wa mjini tunaita ihsani 😄😄😄😄😄😄
 
Nyumbu Lissu alisema "tutafanya uasi, tutavuruga uchaguzi, tutahakikisha uchaguzi hautafanyika"

Na kweli tuliona nyumbu wenzake mkijaribu kufanya uasi na kuleta vurugu zilizosababisha hasara kubwa kwa taifa.

Muhalifu huyu anaeitwa Tundu Lissu anastahili kupata adhabu ya kunyongwa kwa kuhamasisha uasi.

Hakuna huruma kwa muhalifu.
Mbogamboga usiye na akili hata kidogo wewe, unategemea form four failure aweze kushindana na msomi wa chuo kikuu tena gifted?
 
Back
Top Bottom