I see! soo sad. Lakin hao wahanga wa utapeli hawana nguvu ya kujitetea?Huyu bwana ni tapeli hasa. Maana hata mizizi yake ilianzia kuwatapeli waganda waliokuwa wakifanya biashara na Nyanza kwenye zile Gineries.. Hata zile godown za mafuta pale Mwanza south alifanya utapeli wa mapenzi ndiyo akazipata.
Na huu utapeli wa kuwatapeli kina mama wenye hela (wafanyakazi, wafanyabiashara, wajane n.k) umeshamiri sana. Nilipata kuwa na urafiki na bwana mmoja na kufanikiwa kujua michezo yao, ndugu yangu unaweza lia. Watu wanafirisika.
All in all kisena ni 'mpigaji'..
I see! soo sad. Lakin hao wahanga wa utapeli hawana nguvu ya kujitetea?
Mpaka unajiuliza hili jitu limechanjiwa damu ya simba au unabaki kushangaa karama aliyopewaKwenye ule mdaharo liliwakimbiza watu,jamaa ukilipa nafasi ya kutiririka unakimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaanzia wapi mkuu jamaa limejizatiti kila kona kuanzia pesa elimu mpaka uchawiDA AISEE HICHO CHUO MUNGU ANAKIONA WAMETUTENGENEZEA CHUMA ULETE AMBALO HUWEZI HATA KULIULIZA UNAOGOPA
Ile kesi Chenge aliichukua tu,ilikuwa ya mkewe na ilikuwa Traffic Case ndio maana aliona rahisi kuchomoka.Utamdanganya nani ?
Duh, hiyo magu unamaanisha wilaya iliyopo huko kwa magu au?Huyu jamaa hata magu kafyata mkia.
Tatizo ni Sheria mbovu katika kesi zinazohusu ajali za barabarani. Bila shaka mtemi Chenge wa Nyantuzu aliteleza na hizo Loopholes akapiga goli la mkono.Hapo ndipo utajua kweli serikali ya CCM ni ya wanyonge,inayajua yote lkn Chenge yuko mtaani anadunda.
RIP wanyonge.
Hivi jamani mtu unakuwa mchepuko wa Chenge hata gari hauna ?Unapanda bajaji?Huyu Chenge atakuwa ahongi kabisa.Ile kesi Chenge aliichukua tu,ilikuwa ya mkewe na ilikuwa Traffic Case ndio maana aliona rahisi kuchomoka.
mke wake aliwagonga wale vimada wa mzee akatelekeza gari,baada ya kufuatilia ikaonekana gari iliyogonga ni ya Chenge...Kwa hiyo case inakuwa ya mmiliki wa gari ambalo limesababisha ajali.
Ndio maana utaona hata mzazi wa yule binti mmoja alikiri kuwa anafahamu binti yake alikuwa ana mahusiano na Chenge.
Yule binti alimkamata sana mzee,alikuwa afurukuti...Mwenye nyumba akaamua kumaliza ubishi kwa kuipandia bajaji.Watu wana pesa sana lkn wanakosa amani ya moyo.
Kuna mtu analala mlango wazi na milo miwili...Lkn ni furaha na amani kwa mkewe na watoto ndani ya nyumba.
Kama mlivyompelekea Salome Mbatia sio?Tatizo ni Sheria mbovu katika kesi zinazohusu ajali za barabarani. Bila shaka mtemi Chenge wa Nyantuzu aliteleza na hizo Loopholes akapiga goli la mkono.
Unajua ya kwamba ukigonga mtu ukaua halafu ukijishalimisha Polisi faini ni shilingi 50,000/-!!!???? Na ndio maana watu wengi wenye Nia Ovu hupendelea kutumia Ajali zaidi ya risasi. Pumzika kwa Amani Chacha Wangwe. Pumzika kwa Amani Regia Mtema.
Hata huyu jamaa anayepiga kelele kuwashutumu watu hovyo ya kwamba walitaka kumuua wangempelekea Scania mende iliyojaa kifusi cha kokoto asingetoboa.
Wapumzike kwa Amani Chacha Wangwe, Regia Mtema na Salome Mbatia. Issue ya Mbatia nayo Mbowe na baadhi ya makamanda mnaijua vizuri.Kama mlivyompelekea Salome Mbatia sio?
Apumzike kwa amani Dk.Ali Juma,Sokoine(Kwa mujibu wa Dr. Bushiri ile haikua ajali),Mwandosya&Mwakyembe mkawakosa kosa.Wapumzike kwa Amani Chacha Wangwe, Regia Mtema na Salome Mbatia. Issue ya Mbatia nayo Mbowe na baadhi ya makamanda mnaijua vizuri.
Makonda alionekana Dumila akifanya mazoezi wakati Ajali ya Marehemu Sokoine ikitokea!?Apumzike kwa amani Dk.Ali Juma,Sokoine(Kwa mujibu wa Dr. Bushiri ile haikua ajali),Mwandosya&Mwakyembe mkawakosa kosa.
Aisee huyu Mbowe ni noma sana.
Nadhani mzee wa Deko a.k.a Dr. Bushiru ana jibu sahihi zaidi.Makonda alionekana Dumila akifanya mazoezi wakati Ajali ya Marehemu Sokoine ikitokea!?
Mbowe kupasha misuli!? Labda misuli ya macho.Nadhani mzee wa Deko a.k.a Dr. Bushiru ana jibu sahihi zaidi.
Lkn huko Dumila Mbowe inasemekana alionekana anapasha misuli moto.
Mbowe kupasha misuli!? Labda misuli ya macho.
Mafia aliyelegezwa Segerea kutwa kulilia kumeza panadol na tembe mbili akili na mwili vimkae sawa. Anashindwa hata na Esther Matiko anayehudhuria Mahakamani bila ya madeko.Mbowe mafia sana,mzee wa Deko Dr.Bushir anajua kila kitu we muulize usikie.
Robert Kisena kama ni huyu wa Nsumba nilikuwa naye darasa moja.Nilikuwa B yeye C na tulimaliza1996.Alikuwa ni msukuma Mnyantuzu wa kawaida.Hayo mengine mbona siyajui? Uchaguzi wa 1995 bado alikuwa form three.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika historia ya Tanzania ni Robert Kisena peke yake aliyewahi kumpiga ngwala Mkuu wa kituo cha polisi huko Kanda ya Ziwa na hakukamatwa wala kuhojiwa.Hivi Robert Kisena ni nani?
Huyu ni kijana anayezungusha fedha za jk