Hivi Robert Kisena ni nani?

University of Havard walitulelea huyu mtu kuja kuwa mpigaji sana hapa nchini na alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali tangu 1993 so hata pa kumuanzia hapapo
 
Kwny hio kesi ya kina Idd Simba dhamana ilitakiwa bil 2,yeye Simba akaweka nyumba yenye thamani bil 7 akawatoa na wenzake wote ndani,yajayo yanafurahisha uko tayari?

Ndio maana JPM ameshaona haya majamaa mahakamani yatashinda tu, so dawa ni kuyawekea kesi za uhujumu uchumi yashindwe kuwekewa dhamana.
 
chenge nyoka mwenye makengeza ulishawahi kumuona ? ndiyo huyo baba kila skendo yumo tena zile kubwa lakini hakamatiki ni mjanja sana kwenye mikataba yake anakuwemo lakini hakuna pa kumkamatia
Aliwahi kuwagonga kwa kutumia gari wadada wawili wakiwa kwny bajaji wakafariki wote na akalipa zake faini ya laki 7 tu,akaachiwa huru.
 
Ndio maana JPM ameshaona haya majamaa mahakamani yatashinda tu, so dawa ni kuyawekea kesi za uhujumu uchumi yashindwe kuwekewa dhamana.
Kiukweli kwny kuyataitisha mafisadi papa kuna muda mzee baba anajitahidi sana.
 


MKuu tafuta Muda search humu, kuna kila kitu kuhus huyo fisadi janjajanja.
 
Swadakta mkuu , ila kwenye masuala ya kisheria wamejipanga ni balaa ! Angalia jinsi Lukuvi alivyoangushwa na Mohamed Kirua , kumbuka hili ni kundi lilelile
sheria ya rushwa ngumu ku prove mkuu
siwezi kukurupuka tupo wawili napiga kelele eti umetaka kunihonga
waziri mzima hana hata camera ofisini kwake?lakini Lukuvi amejaribu
 
aliwahi kujinufaisha na kiwanda cha oil mill nwe era mwanza wakati wa Nyanza ezi zile kwa njia ya ujanja ujaja ila nasikia kisha pigwa biti na kurudisha
 
sheria ya rushwa ngumu ku prove mkuu
siwezi kukurupuka tupo wawili napiga kelele eti umetaka kunihonga
waziri mzima hana hata camera ofisini kwake?lakini Lukuvi amejaribu
Ni aibu kwa kiongozi wa umma kumpiga roba mfanyabiashara ofisini kwake ili achukue pesa zake.
 
Kila ukisikia Beberu unaambiwa ni mwanachama mtiifu wa fisiEMU; hapa ndipo unabakia na ????? nyingi sana kichwani, kwani hiki chama kina recruit haya majitu??
Hicho chama ni kichaka cha mchwa wanaoitafuna nchi
 
Hajarudisha magodown ya Nyanza pale Igogo Mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…