Hivi Robert Kisena ni nani?

Hahahaha, namjua Albert alikua Don Mkuu ,yy ndio alikua muagizaji na mnunuzi wa ......uzuri nimekua na salama na Riz ,so namjua huyo mchizi Kitambo

Hizi dili zingine za hela zimekuja baadae

MTC | 101| [emoji769]
Mkuu nahitaji kuhusiswa kwenye madili mawili matatu hivi ili nami nisonge kimaisha nyie watu wa mjini hamshindwi kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
awamu hii hakuna cha mshika mikoba ya mkubwa wala nini tutaheshimiana tu yaani wote mpaka tuwe level moja hakuna cha unanijua mimi ni nani??hahahaaaa
Water find its own level and so do people. Haitatokea kamwe watu wote wakawa level moja mkuu hata ije awamu ya namna gani.
 


Aisee simkumbuki....sijui kwa nn umri ukienda watu tunasahau mapema sijui majukumu....maana ukiniuliza majina ya walimu wangu wa Primary kuanzia darasa la kwanza hadi la saba nawakumbuka ila wa A-level siwakumbuki..Juzi kati nilikuwa mwanza nikapita pale round about ya nsumba nikielekea SAUTI kule (hahahahahaa I bet you know nilikuwa naenda kufanya nn) aisee kuna hisia kali sana iliniijia nikataka niende kuangalia ile smart area...sijui bado ipo...ila kwa vile nilikuwa nasubiriwa ikabidi tu nipotezee...
 
Asanteni mkuu wewe pamoja na DrLove69 nimejua mengi ambayo nilikuwa siyajui awali, lakini shukrani zaidi kwa mleta mada nina hisi kupitia jamii forum nina stahili kupewa sasa PhD 😛 .
Pamoja sana mkuu. JF ni Kisima cha Ujuzi. Kila siku tunajifunza na kuendelea kujifunza. Ndio maana huwa sipendi watu wakipotosha umma kupitia JF, sababu ni kwamba kuna wengi wetu humu tunapita kusoma na kujifunza mawili matatu.
 
Kwny hio kesi ya kina Idd Simba dhamana ilitakiwa bil 2,yeye Simba akaweka nyumba yenye thamani bil 7 akawatoa na wenzake wote ndani,yajayo yanafurahisha uko tayari?
hahaha mjini kuna watu vichwa sana .halafu wabishi haswaa
 
Hahahaha, namjua Albert alikua Don Mkuu ,yy ndio alikua muagizaji na mnunuzi wa ......uzuri nimekua na salama na Riz ,so namjua huyo mchizi Kitambo

Hizi dili zingine za hela zimekuja baadae

MTC | 101| [emoji769]
Unamkumbka smbdy mzaba alikuwa anakaa nyumba ya 3 kbla ya angithi kama unaelekea Victoria hyo ...s.... jamaa aliruka naye sana enzi hzo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Enzi riz hajui lolote mweupe

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja sana mkuu. JF ni Kisima cha Ujuzi. Kila siku tunajifunza na kuendelea kujifunza. Ndio maana huwa sipendi watu wakipotosha umma kupitia JF, sababu ni kwamba kuna wengi wetu humu tunapita kusoma na kujifunza mawili matatu.
Ni kweli mkuu JF ni shule tosha, mimi ni mmojawapo kati wengi waliojifunza mengi kupitia JF.
 
Huyo mtu ukimpa bega tu atakufunga goli la mkono.
Pammoja na vyombo vya habari kupiga kelele ya Kisena kupewa UDA kimahaba,wakubwa hawakushtuka.Bado ikatengezwa mikakati kumlikisha hisa kubwa kuliko serikali.Mambo yote kutoka mwanzo hadi kifo cha mwendo kasi yamepangwa na watu wazito.
Kwa mwendo huu sitashangaa kusikia ameigalagaza serikali mahakamani.Wajinga ndio waliwao.
 
Kila ukisikia Beberu unaambiwa ni mwanachama mtiifu wa fisiEMU; hapa ndipo unabakia na ????? nyingi sana kichwani, kwani hiki chama kina recruit haya majitu??
Haya magangwe yamekwapua mali za umma sasa ni zamu yao mataahira haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…