Hivi Reginald Mengi haishiwagi pesa?

Hayo Masharti anayo Mungu Peke yake

Sio kweli bali hayo ndo masharti aliyo toa Mungu kwa waja wake wanaotaka wasiishiwe. Wapeni watu vitu, kipimo kile kile mlicho pima ndicho mtakacho pimiwa, na kusukwasukwa na kushindiliwa.
Hilo ndio sharti alilolitoa Mungu.
 
Kwani Mie nimesemaje Mkuu
 
Siku zote unapotoa ndipo panapoongezeka, ndio maana Mungu alisema sadaka ni kwa wote, yaani kila mtu atoe sadaka lakini Zaka ni kwa matajiri.

Bill Gates anatoa nusu ya mapato yake ya kila mwaka kusaidia maskini barani Africa na Asia na hajawahi kufilisika.
 
Hivi hujawahi kusoma habari za USD millionaires na USD billionaires wanavofilisika sababu ya upepo mbaya wa kiuchumi, matumizi makubwa etc Detective J
Kumbe kusaidia kwake maskini unahisi ndio atafilisika?? ama kweli waliosema una umaskini wa fikra na roho hawajakosea.
 
Kabla hujaendelea kunitukana naomba nikupe mifano rahisi:

1) Anza na ww kusaidia watu wengi kipesa, uone kama utaendelea mbele kiuchumi.

2) Hujawahi kusikia habari za watu matajiri USD millionaires waliofilisika kisa kusaidia ndugu zao?

3) Shida sio kusaidia, shida ni kuwa anajionesha kuwa yeye ni tajiri (which is not bad) ila ikitokea kwa bahati mbaya akayumba kipesa/akaishiwa, si atapata aibu sana? watu si watamcheka? tena si ajabu ww huenda ukawa MTU wa kwanza kumsema vibaya na kumpiga vijembe, Mengi inspires me ila thats my concern. culture gal
 
Mtoa mada una roho ya kichawi. Unawezaje kumwazia mwenzako kuwa anaweza kufilisika? Think positives for him. Mungu anasema atoaye kwa yatima na wahitaji, atajaza maghara yao. Mengi anatoa kwa yatima na wahitaji haweza kufilisika.
 
Hello guys,

Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?

Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.
Anatumia portion ndogo ya zile anazozalisha..
 
Hello guys,

Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?

Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.
Kwako ni msaada ila kweke ni Sadaka, huwezi kufilisika unapotoa kwa ajili ya BWANA.
 
Hello guys,

Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?

Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.

Endelea kumuombea hela yake izizdi kuongezeka maradufu, kwa sababu kodi yake anayotoa Serikalini ndiyo mojawapo ya zile zinazosomesha watoto wetu bure shule ya Msingi hadi Sekondari. Endelea kumuombea na Mungu atakubariki!
 
Hello guys,

Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?

Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.
Unataka aishiwe pesa ili iweje?
 
Back
Top Bottom