Hivi Rais Samia anatambua hali ya umeme nchini kwa sasa? Mbona kimya kama hayamhusu?

Lakini si huo mgao unaletwa na huo upungufu?View attachment 2753817

Sent using Jamii Forums mobile app
Waseme, nchi nzima ina
  • Installed capacity ngapi?
  • Active ni ngapi?
  • Max demand ni ngapi? (Hapa wasitumie takwimu za uzalishaji wao ila uingizwaji wa generators kubwa zote kuanzia 625kVA)

Maji mpaka leo?
Tangu waliouza gesi kwa dharula pale mjengoni, mpaka sasa imepita miaka mingapi?
  • Kujenga kituo kimoja cha kuzalisha umeme wa 300MW inachukua muda gani?
  • Tumeshindwa kupata plant ya hata 1.2GW inayokuwa powered kwa gas? Jenga huko Mtwara li-plant likubwa, pinga Grid, ring cct, boresha distribution network, tuachie walalahoi tuserebuke nao
 
Jamani hii hali mpaka lini? Mbona kama vile Biteko ni zaidi ya Makamba?
Na jee Rais anafahamu kweli au hao machawa waliomzunguka wanamwambia hali ya umeme ni shwari tuu?
Maana kanyamaza kimya hatii neno, kama kaamua 2025 hataki tena ndio adharau kwa sasa? Mie nadhani bora aachie tuu sasa hivi maana 2025 ni mbali sana kama ataachia mambo hivi hivi yaendelee!
Atimize wajibu au ajiweke pembeni kwa heshima yetu
Kwani we usha wahi ona huyu mama anaongelea matatizo ya watanganyika? Huwa hana muda nayo kabisa.
 
Waseme, nchi nzima ina
  • Installed capacity ngapi?
  • Active ni ngapi?
  • Max demand ni ngapi? (Hapa wasitumie takwimu za uzalishaji wao ila uingizwaji wa generators kubwa zote kuanzia 625kVA)

Maji mpaka leo?
Tangu waliouza gesi kwa dharula pale mjengoni, mpaka sasa imepita miaka mingapi?
  • Kujenga kituo kimoja cha kuzalisha umeme wa 300MW inachukua muda gani?
  • Tumeshindwa kupata plant ya hata 1.2GW inayokuwa powered kwa gas? Jenga huko Mtwara li-plant likubwa, pinga Grid, ring cct, boresha distribution network, tuachie walalahoi tuserebuke nao
Unamawazo mazuri kikubwa badili location either yapeleke ulaya au amerika
 
Mh Rais hili la UMEME na DP World, yatakuzamisha 2025..Chukua hatua..punguza bajeti ya barabara, peleka kwenye UMEME...pia waweza KOPA mkopo wa DHARURA

Kwa kuongezea waweza husisha SEKTA BINAFSI
 
Jamani hii hali mpaka lini? Mbona kama vile Biteko ni zaidi ya Makamba?

Na je Rais anafahamu kweli au hao machawa waliomzunguka wanamwambia hali ya umeme ni shwari tu?

Maana kanyamaza kimya hatii neno, kama kaamua 2025 hataki tena ndio adharau kwa sasa? Mie nadhani bora aachie tuu sasa hivi maana 2025 ni mbali sana kama ataachia mambo hivi hivi yaendelee!

Atimize wajibu au ajiweke pembeni kwa heshima yetu
Dotto ataangushiwa jumba bovu
 
Viongoz wa Africa always matatizo ya wananchi wao hawajali hata kdg, kwanza hua ni jeur san!! Naendelea kusimama na ma homie Donald Trump ✔️ Africa must be colonised again ✔️✔️
 
Ye yupo dunia nyingine..kibaya zaidi kakubali kudanganywa..wananchi wakimfata wamueleze ukweli anasema ana muda mchache hawezi kusikiliza.

Anataka kuwasikiliza viongozi wake anaojua hawatampa maneno yenye kero.

Ye hajui umeme kukatika wala maji kwa sababu dunia aliyopo sasa ni ngumu ku experience.

Hizi shida ukitaka kuzijua wape nafasi watu wa chini kutoa kero..ukiweka ukuta hutojua.
Utaambiwa tu umetoa billion kadhaa na sasa umeme upo vijiji vyote..umetoa billioni kadhaa na sasa maji yanapatikana vijijj vyote..nani kama mama...haijawai kutokea.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja
 
Jamani hii hali mpaka lini? Mbona kama vile Biteko ni zaidi ya Makamba?

Na je Rais anafahamu kweli au hao machawa waliomzunguka wanamwambia hali ya umeme ni shwari tu?

Maana kanyamaza kimya hatii neno, kama kaamua 2025 hataki tena ndio adharau kwa sasa? Mie nadhani bora aachie tuu sasa hivi maana 2025 ni mbali sana kama ataachia mambo hivi hivi yaendelee!

Atimize wajibu au ajiweke pembeni kwa heshima yetu
Tulisha kubaliana ni busara kukaa kimya kwenye kila Jambo nyeti linalohusu watanzania 😂😂😂
 
Back
Top Bottom