Hivi Rais Magufuli ni Mwafrika kweli?

Hivi Rais Magufuli ni Mwafrika kweli?

Binafsi Raisi Magufuli ananishangaza sana mpaka nafikia hatua ya kuhoji Uafrika wake!
Maishani mwangu sijawahi kukutana na Mwafrika asiyepapatikia kwenda Ulaya, (nchi za Wazungu), na hii huwa ni ndoto yetu watoto wa Kiafrika wkt tukuapo kwenda Ulaya!

Sasa hapa kuna Mwafrika aliyezaliwa na kukulia Afrika ingawaje ana uwezo wa kwenda Ulaya muda wowote kama akiamua na kufikia Hoteli yoyote ya gharama yoyote ile na kwenda shopping ya kufa mtu, pmj na haya yote bado hafagilii kwenda Ulaya?

Hili limenistaajabisha sana, Mwafrika asipende kwenda Ulaya pmj na kuwa na huo uwezo?
Yaani Mwafrika akatae kwenda kutibiwa Ulaya kwenye Hospitali ya Mzungu?
Mwafrika mwenye uwezo amuamini Mwafrika kumtibu?
Mwafrika mwenye uwezo asile chakula cha Kizungu badala yake Mke wake ndiyo ampikie?

Hapana Mimi nafikiri Raisi Magufuli siyo Mwafrika labda tumefichwa tu!
jecha keshamharibia, maswali atakayoulizwa yatamtia kichefuchefu
 
Acha ujinga na kujidharau, raisi si lazima ajibu maswali yote, na sio waandishi wote wana akili fupi kama za kwako, watu wengine bora mngekuwa hewa tu.
Wangekuwa hewa wangevutwa kama bange[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahah eti Ulaya kitu gani? Wewe unaongea hivyo siajabu hapo ilipo uko Ulaya au umeshakaa huko, sasa mtafute MTZ ambaye hajawahi kufika Ulaya halafu mwambie kwani Ulaya kitu gani uone kama mtaelewana, na ndicho ninachomaanisha hapa siyo kwamba Raisi Magufuli ameshaishi Ulaya na kupachoka hapana hajaishi huko lkn bado hakufagilii ingawaje ana uwezo wa kwenda huko muda wowote atakao,
Mwafrika wa hivyo sijawahi kumuona!
Namkumbuka jamaa yangu mmoja anakamsemo kake et


Kuliko uwe raia watz, bora ukawa mfungwa ulaya
 
Tuache utumwa wa fikra wasiopenda kwenda ulaya ni wengi mno. mimi binafsi huwa sipendi kutoka hata nje ya mkoa wangu huwa nahisi sina amani moyoni. hata kama nikisafiri nje ya mkoa,siku ninayorudi nikiingia ndani ya himaya ya mkoa wangu huwa nahisi joy ndani ya moyo wangu.
nina marafiki wengi majuu waokuja kazin kwetu ku- vulunteer kama kutoka shirika la pscop wakimaliza mikataba yao hunialika niende kwao kiukweli huwa nahisi moyo unaenda mbio kutoka nje ya TZ!.... Sijawahi kufikiri kabisa.
kiingereza kinapanda na mimi ndio huwapokea wazungu hao na kuwapa ushirikiano wa hali ya juu.wao hunipenda sana maana huwa siendekezi dhiki na hata tukisafiri pamoja huwa tuna-share cost almost in everything. mpaka baadhi ya ndugu zangu hunishang'aa eti nachezea bahati lol
Utakuwa na elementi za kichawi
 
Mleta mada kupitia mada yako nimekuelewa ni MTU wa namna gani.Thamini kwenu/ kwako kwanza Usiangalie KWA wenzako kunanini Sisi wahehe huwa tunasema tumgayasiida hatakama nanjaa siwezi kukunyenyekea Na Vihela vyako .Na ukiangalia utajili walioupata ni wizi walioiba Mali za Africa enzi za utumwa hadi Leo hii kupitia ukoloni mamboleo .Africa Na hasa Tanzania ni matajili kuliko hao wa ulaya Tumakuwa tunakusa Viongozi imara wa kusimamia malizetu .
Ona mfano wa Libya Gaddafi alikuwa anawapa kila kitu walibya KWA lasilimali zao hawakutegea misaada wala kuabudu ulaya .Wao walivyo ona kiongozi anayesimamia lasimali za Taifa KWA maslahi ya Taifa wakamfanya walivyo mfanya Leo hayupo.
Raisi watu tuzidi kumuombea ni mfano wa maraisi wachache waliotangulia Wenye uchungu Na lasilimali za Taifa KWA watanzania wote Na anajua nchi inautajili kuliko hiyo misaada wanayotoa , eidha wao wahajakubwa ya kuja Tanzania kuliko sisi kwenda Uko .acha kuwa Na fikla za ki imla hao waliokuwa wanaenda huko malakwamala unajua walikuwa wanaenda KWA maslahi ya Taifa (watanzania) hau maslahi YAO binafsi ?? ndio maana kila unapopita unaambiwa hapa KWA Fulani kashfa kibao.
Hoja ya kuongea kingeleza bado waozungumza hivyo ni hoja mufilisi PhD holder huwezi kushindwa kuongea kiingeleza coz masomo YAKE yote amasoma KWA lugha hiyo.Usifananishe Na wewe uliyesoma HKL Mnafundishwa hadi kubana Pua ili pronounce ka mzungu hapo wewe umesomea lugha mwenzio kasomea madude uliyoyakimbia ukawa unaona Viluwe Luwe.
Ukitaka kujua tukuleetee Na wewe halafu aitwe mwandishi wa BBC mwenye kujua lugha ya kisayance akuhoji Na HKL yako kama hautakuwa Bubu.Think big before you do anya thing
 
Binafsi Raisi Magufuli ananishangaza sana mpaka nafikia hatua ya kuhoji Uafrika wake!
Maishani mwangu sijawahi kukutana na Mwafrika asiyepapatikia kwenda Ulaya, (nchi za Wazungu), na hii huwa ni ndoto yetu watoto wa Kiafrika wkt tukuapo kwenda Ulaya!

Sasa hapa kuna Mwafrika aliyezaliwa na kukulia Afrika ingawaje ana uwezo wa kwenda Ulaya muda wowote kama akiamua na kufikia Hoteli yoyote ya gharama yoyote ile na kwenda shopping ya kufa mtu, pmj na haya yote bado hafagilii kwenda Ulaya?

Hili limenistaajabisha sana, Mwafrika asipende kwenda Ulaya pmj na kuwa na huo uwezo?
Yaani Mwafrika akatae kwenda kutibiwa Ulaya kwenye Hospitali ya Mzungu?
Mwafrika mwenye uwezo amuamini Mwafrika kumtibu?
Mwafrika mwenye uwezo asile chakula cha Kizungu badala yake Mke wake ndiyo ampikie?

Hapana Mimi nafikiri Raisi Magufuli siyo Mwafrika labda tumefichwa tu!
Mkuu wewe unataka aende uzunguni kwani umeishamaliza kumfunza english course? Ameiva?
 
Nimeamini ule utafiti kua watz wengi ni vichaa na mmoja wapo huyu alieleta hii thread.
 
OK mie wa kale, hivi huyo wa CNN akimuuliza "your exellency, how come you learn to the level of doctorate (Phd) with english language then you cant use it?" Atajibuje kwa kiswahili au kisukuma?
Huyo wa China umsemaye kasoma kwa kichina.
Hata hapa kwetu tukimpa cheo hicho Lusinde akienda huko ataongea na kujibu kiswahili na hakuna atakayeshangaa kutokujua lugha hiyo kwa vile hajasomea.
Umeipata mantiki ya hoja?
We ndio unaongea pumba kweli, rudi darasani. Dunia ya leo siasa na uchumi ili ziende vyema lazima udictator uwepo, hapa sio peponi. Ndio maana marekani ilivamia Iraq,Libya na kun'goa viongozi wa huko - ni dictatorship, Russia ku annex Ukraine, ni dictatorship, uingereza kupora Argentina visiwa vya falkland - ni dictatorship, china kuwa na mfumo wa serikali ya chama kimoja ni dictatorship, tena wananchi walipotaka kudai demokrasia kwa maandamano, serikali ilipeleka vifaru ikakanyaga waandamanaji pale 'tianamen square' leo baada ya miaka ishirini toka tukio hilo, China chini ya Communist Party, imeingiza ma bilionea mia moja katika kundi la mabilionea duniani, Israel ku suppress Palestine ni dictatorship, ila waafrika ndio wanastahili kuwa na demokrasia ! No way we shall determine our own destiny. MAGUFULI tupelekeshe tu tunaelewa kuwa una nia nzuri hilo ndio la msingi,
 
Yaani mtu anayetoa maoni kinyume na kusifia ni kukashifu?
Acheni utumwa wa mawazo huo!
Ulitakiwa kuelewa vile namaanisha. Yan ajue kiarabu ama asijue.... Hiyo c sifa ya rais tumtakaye. Kimsingi kwa vile mh hutumia lugha ya taifa...Na sasa ni ya Kimataifa... Nadhan limewashukaaa. Isitoshe hizo lugha zingine kwa raid zina faida gan??. Acheni ushamba was kutukuza visivyo vyenuuu...!.
 
Kwa ukiritimba wa madaraka ,maendeleo Afrika huletwa na mtu mmoja tuu,ambaye ni Raisi.Katika nchi nyingi ,karibu zote Raisi ndie pekee mwenye kuweza kuleta mabadiliko makuu Kwenye nchi zetu.Wana absolute powers za kuweza kujenga au kubomoa.wengine wote ni bendera hufuata upepo.
 
Lkn hayo unayajua baada ya kujaribu, yaani ningeelewa kama Raisi Magufuli kabla ya kuwa Raisi angekuwa keshaimaliza Ulaya na raha zake tuziaminizo Waafrika, lkn ukiangalia Historia ile tuijuayo hajawahi kuishi huko, sasa hili kwa Mwafrika wa kawaida ni ngumu kuamini!

Kumbuka wengine mpaka wanafungiwa na Wazungu kwenda huko kama Mugabe lkn anazuga na kuibukia UN New York, ndiyo maana nasema Raisi Magufuli amenishangaza sana kwani Mwafrika wa hivi sijawahi kuona!
Aisee inaelekea unashobokea ulaya Nitakutumia invitation letter uje utoe tongotongo
 
Tuongelee hoja zamsingi bana.sio eti Mara jpm haendi ulaya, mara jpm hajui inglish,huo ni ufinyu wamawazo wandugu.mtoa hoja mwenyewe hata kuliandika jina la rais lenyewe hajui.sasa ndo kitugani hicho kama sio ujinga,kwanza wewe unadhani leo ukipanda pipa na kwenda ulaya utakapo rudi bongo utakuwa umebadilika kitu chochote?rahasha utabaki kuwa vilevile tu.acha ushamba tuulize tulie enda tukuambie.na hii tabia ya kumwongelea jpm kwenye mada za upuuzi kama hii nakemea kabisa.
We we ni mmoja kati ya wale wanne
 
Africa ingekuwa na viongozi watano tu kama Magu wetu.Waafrica heshima ingekuwa mbele.Lazima viongozi wetu wafike hatua wathamini uafrika wao sio kujirahisi na kujipotezea heshima zao.JPM kiongozi mfano bora Africa.Mungu ampe afya njema
 
NCHI HAINA HERA SASA AKIAMUA KWENDA ULAYA WAKATI MWAKAHUU TUNATAKIWA KULIPA TRILLION 8 ZA MADENI YALIYOIVA NA WAKATI MISHAHARA YA SERIKILI NI TRILLION 7.2 UNADHANI MAMBO YATAENDA KWELI
Mgabe anaenda lkn yuko hoi kuliko nchi nyingi za Africa
 
Lugha mkuu

Mkuu;
Sidhani ka lugha ni tatizo. Mbona Mchina anaenda huko bila hata kujua kusoma kinyamwezi cha huko? Maana ya balozi kuwa huko ni nini? Jua kuwa mkuu ana uwezo wa kufanya mazoezi hadi ya namna ya kula au kukaa mezani.
Namuunga mkono mleta hoja kuwa, hapo kuna kajisababu. Na kwakuwa ni mmatumbi ka miye, huenda, mnajimu wake (wazee wa mlingotini Bwagamoyo) kamwonya asiipande ndege ya kithungu. Yaweza potea ka ile ya Malsia hadi leo haijapatikana. Si wamkumbuka mgeni wake wa kwanza yule mgonjwa wa TB ya Yoshuaaa? Umeona api mtu kushuka kwenye pipa hana viatu na kutembea peku ka bata!!! Jamani, naomba msamaha kwa yeyote niliye mkosea ka nimesema vibaya, haya ni mawazo yangu tu
 
Back
Top Bottom