Hivi Rais Magufuli ni Mwafrika kweli?

Hivi Rais Magufuli ni Mwafrika kweli?

Ila wewe Barbarosa unawatafutia watu Kisutu bure! Kuna mtu atakuja kutiririka hapa kuhusu ule uvumi wa sijui moyo, mara mashine, mara safari ndefu za ndege na ngurumo yake, sijui ugonjwa na, aah basi bwana mie simo kwaheri! hata mie mgonjwa ndio maana napenda sana kusafiri na gari mpaka dharula ndio naenda angani tena safari isiyozidi saa 2

Kama ingekuwa hivyo kwa Kiafrika hasa si ndiyo angepata sababu ya kuhamia Ulaya sasa? Wamalawi mpaka leo wanamsubiri Raisi arudi ktk Ulaya!
Yaani Mwafrika augue halafu ana uwezo wa kusafirishwa first class tena kwa ndege ya kukodi kwenda Ulaya kutibiwa halafu akatae na kuamua kutibiwa Afrika na Daktari Mwafrika?
Mwafrika huyo sijawahi kumuona!
 
OK mie wa kale, hivi huyo wa CNN akimuuliza "your exellency, how come you learn to the level of doctorate (Phd) with english language then you cant use it?" Atajibuje kwa kiswahili au kisukuma?
Huyo wa China umsemaye kasoma kwa kichina.
Hata hapa kwetu tukimpa cheo hicho Lusinde akienda huko ataongea na kujibu kiswahili na hakuna atakayeshangaa kutokujua lugha hiyo kwa vile hajasomea.
Umeipata mantiki ya hoja?
Wewe mwenyewe umeandika english ya hovyo kupitiliza, I believe this is not typo bali ndio english yako ilivyo
 
1477040914372.jpg
 
Ulayaaaa labda na mimi nafanana na Prezidaa maana more than 27 countries za Africa nimekwenda but Ulaya hata moja sijakanyaga na sijui kwanini?? Paris, Washington, Brussels na Newyork vilinipitia kando kama sioni vile na leave nikachukua
 
Binafsi Raisi Magufuli ananishangaza sana mpaka nafikia hatua ya kuhoji Uafrika wake!
Maishani mwangu sijawahi kukutana na Mwafrika asiyepapatikia kwenda Ulaya, (nchi za Wazungu), na hii huwa ni ndoto yetu watoto wa Kiafrika wkt tukuapo kwenda Ulaya!

Sasa hapa kuna Mwafrika aliyezaliwa na kukulia Afrika ingawaje ana uwezo wa kwenda Ulaya muda wowote kama akiamua na kufikia Hoteli yoyote ya gharama yoyote ile na kwenda shopping ya kufa mtu, pmj na haya yote bado hafagilii kwenda Ulaya?

Hili limenistaajabisha sana, Mwafrika asipende kwenda Ulaya pmj na kuwa na huo uwezo?
Yaani Mwafrika akatae kwenda kutibiwa Ulaya kwenye Hospitali ya Mzungu?
Mwafrika mwenye uwezo amuamini Mwafrika kumtibu?
Mwafrika mwenye uwezo asile chakula cha Kizungu badala yake Mke wake ndiyo ampikie?

Hapana Mimi nafikiri Raisi Magufuli siyo Mwafrika labda tumefichwa tu!
Wewe ndie usie maana umeleweshwa na kuamini kila kitu chao kulingana na andiko lako.
 
OK mie wa kale, hivi huyo wa CNN akimuuliza "your exellency, how come you learn to the level of doctorate (Phd) with english language then you cant use it?" Atajibuje kwa kiswahili au kisukuma?
Huyo wa China umsemaye kasoma kwa kichina.
Hata hapa kwetu tukimpa cheo hicho Lusinde akienda huko ataongea na kujibu kiswahili na hakuna atakayeshangaa kutokujua lugha hiyo kwa vile hajasomea.
Umeipata mantiki ya hoja?

Acha ujinga na kujidharau, raisi si lazima ajibu maswali yote, na sio waandishi wote wana akili fupi kama za kwako, watu wengine bora mngekuwa hewa tu.
 
OK mie wa kale, hivi huyo wa CNN akimuuliza "your exellency, how come you learn to the level of doctorate (Phd) with english language then you cant use it?" Atajibuje kwa kiswahili au kisukuma?
Huyo wa China umsemaye kasoma kwa kichina.
Hata hapa kwetu tukimpa cheo hicho Lusinde akienda huko ataongea na kujibu kiswahili na hakuna atakayeshangaa kutokujua lugha hiyo kwa vile hajasomea.
Umeipata mantiki ya hoja?
Mkuu kwani ile PHD yake ya English Language au ya Mambo ya Kemia? Kwanza nenda kamtafute mtaalamu wa kiingereza kisha muulize sentensi yako ya kiingereza ulichoandika kumuuliza swali Magu ni sahihi? Mimi sikijui vizuri lakini naona kama kimekaa ndivyo sivyo.
 
Upo dunia ya kale mkuu. Rais wa China akienda hizo nchi anaojiwa kwa lugha gani? Anaweza kwenda kule na akafanya mahojiano kwa lugha yake, hao wanaomuhoji watatafuta mkalimani na yeye anakuwa na wa kwake. Kwa nafasi yake anaweza kufanya chochote, anaweza kujibu kwa kisukuma na hakuna shida. Mjukuu wa Malkia Elizabeth wa UK anajifunza kiswahili darasani huku wewe unakidharau ni utumwa tu unatusumbua.
Tatizo huyu kasoma form one mpaka PhD kwa kiingereza na bado kinampiga chenga
 
Tuongelee hoja zamsingi bana.sio eti Mara jpm haendi ulaya, mara jpm hajui inglish,huo ni ufinyu wamawazo wandugu.mtoa hoja mwenyewe hata kuliandika jina la rais lenyewe hajui.sasa ndo kitugani hicho kama sio ujinga,kwanza wewe unadhani leo ukipanda pipa na kwenda ulaya utakapo rudi bongo utakuwa umebadilika kitu chochote?rahasha utabaki kuwa vilevile tu.acha ushamba tuulize tulie enda tukuambie.na hii tabia ya kumwongelea jpm kwenye mada za upuuzi kama hii nakemea kabisa.

Hahah eti Ulaya kitu gani? Wewe unaongea hivyo siajabu hapo ilipo uko Ulaya au umeshakaa huko, sasa mtafute MTZ ambaye hajawahi kufika Ulaya halafu mwambie kwani Ulaya kitu gani uone kama mtaelewana, na ndicho ninachomaanisha hapa siyo kwamba Raisi Magufuli ameshaishi Ulaya na kupachoka hapana hajaishi huko lkn bado hakufagilii ingawaje ana uwezo wa kwenda huko muda wowote atakao,
Mwafrika wa hivyo sijawahi kumuona!
 
"your exellency, how come you learn to the level of doctorate (Phd) with english language then you cant use it?"
Huyu ndio anakosoa uwezo wa mwenzie kuzungumza kiingereza safi....Kweli nyani haoni kundule. Toa kwanza boriti jichoni mwako kabla ya kuondoa kibanzi jichoni mwa mwenzio.
 
Binafsi Raisi Magufuli ananishangaza sana mpaka nafikia hatua ya kuhoji Uafrika wake!
Maishani mwangu sijawahi kukutana na Mwafrika asiyepapatikia kwenda Ulaya, (nchi za Wazungu), na hii huwa ni ndoto yetu watoto wa Kiafrika wkt tukuapo kwenda Ulaya!

Sasa hapa kuna Mwafrika aliyezaliwa na kukulia Afrika ingawaje ana uwezo wa kwenda Ulaya muda wowote kama akiamua na kufikia Hoteli yoyote ya gharama yoyote ile na kwenda shopping ya kufa mtu, pmj na haya yote bado hafagilii kwenda Ulaya?

Hili limenistaajabisha sana, Mwafrika asipende kwenda Ulaya pmj na kuwa na huo uwezo?
Yaani Mwafrika akatae kwenda kutibiwa Ulaya kwenye Hospitali ya Mzungu?
Mwafrika mwenye uwezo amuamini Mwafrika kumtibu?
Mwafrika mwenye uwezo asile chakula cha Kizungu badala yake Mke wake ndiyo ampikie?

Hapana Mimi nafikiri Raisi Magufuli siyo Mwafrika labda tumefichwa tu!
Weka jina lako na anwani kamili, in case!
 
Acha na asinde yy apumzike wao ndo wahangaike kuja huku kwetu kwani kwenda ulaya kuna nn na kama nikuona watu weupe yaani wazungu wapo wengi sana huku Africa, wao ndo wahangaike kuja kwetu! Hongera presder jpm!
 
Huyu ndio anakosoa uwezo wa mwenzie kuzungumza kiingereza safi....Kweli nyani haoni kundule. Toa kwanza boriti jichoni mwako kabla ya kuondoa kibanzi jichoni mwa mwenzio.
Bado mgeni hujaelewa misemo chokonozi ya JF. Swali hilo ambalo linaulizwa na Mwandishi wa CNN limewekwa hivyo kwa kusudio maalum. Mjadala unavyoendelea utaelewa.
JF ; the home of great thinkers.
 
Sawa mkuu, ahsante kwa kunikaribisha na kunielewesha. Tuko pamoja mdau.
 
Binafsi Raisi Magufuli ananishangaza sana mpaka nafikia hatua ya kuhoji Uafrika wake!
Maishani mwangu sijawahi kukutana na Mwafrika asiyepapatikia kwenda Ulaya, (nchi za Wazungu), na hii huwa ni ndoto yetu watoto wa Kiafrika wkt tukuapo kwenda Ulaya!

Sasa hapa kuna Mwafrika aliyezaliwa na kukulia Afrika ingawaje ana uwezo wa kwenda Ulaya muda wowote kama akiamua na kufikia Hoteli yoyote ya gharama yoyote ile na kwenda shopping ya kufa mtu, pmj na haya yote bado hafagilii kwenda Ulaya?

Hili limenistaajabisha sana, Mwafrika asipende kwenda Ulaya pmj na kuwa na huo uwezo?
Yaani Mwafrika akatae kwenda kutibiwa Ulaya kwenye Hospitali ya Mzungu?
Mwafrika mwenye uwezo amuamini Mwafrika kumtibu?
Mwafrika mwenye uwezo asile chakula cha Kizungu badala yake Mke wake ndiyo ampikie?

Hapana Mimi nafikiri Raisi Magufuli siyo Mwafrika labda tumefichwa tu!
MZALENDO WA KWELI
 
Back
Top Bottom