shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,800
- 4,322
huyu jpm nmemkubali sana kuliko yule former
Kwani lazima aongee kiingereza,viongozi wangapi duniani wanaongea lugha zao wanapoojwa iwe CNN,BBC,aljazeera nk.futilia rais was China,urusi kwa uchache.nisingependa aende kabsa.mkwere ameshakanyaga kila sehemu.hapa ni kazi Na ni hapa nyumbani.Mtamsema na kumkashifu saana!. Lkn ukweli utabaki palepale...., Magu iz da President....