matungusha
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 594
- 126
Me huwa sipotezi muda wangu kuwasikiliza clauds...
Me huwa sipotezi muda wangu kuwasikiliza clauds...
Kwani hujaelewa anaongelea nini? Unatetea tena as usual kwi kwi kwiiiiiNani kakuambia Kibonde ni muandishi wa habari?
Haa,ha..,clouds wamebuni mbinu mpya ya kujipromote kwa watangazaji wake kuingia humu jf na kupost post zinazohusu clouds na nyie munarespond da hawa jamaa watawafanya muwe munawaza mambo mepes.
Kwani hujaelewa anaongelea nini? Unatetea tena as usual kwi kwi kwiiiii
Background ya radio clouds watangazaji wake wote ni maDJ akiwepo huyo mkurugenzi wao Joseph! What do you expect?
si lazma kukomet km vp kaakmya!!Kila siku tunasema hayo malalamiko yenu kuhusu hiyo radio yenu peleken fb na siyo jf,kila siku clouds clouds,mnanyaza uzi humu ndani tu.
si lazma kukomet km vp kaakmya!!
hawa clouds ni viherehere sana kazi yao ni kujipendekeza kwa mafisadi kwa masilahi yao binafsi ili zinapotokea tender kama vile birthday za watoto wa mafisadi wapewe u-mc,hawana maana wamekuwa mpaka wasemaji wa mafisadi!!!kweli hawa watangazaji wa kipindi cha jahazi,sijui ndio kutafuta vyeo?leo wameibuka na hoja eti tatizo la kina cha maji kupungua kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme,ni wakulima wanaolima kando kando yake!ndio maana maji mengi yanapotea kabla hayajafika!na sio kuilaumu tanesco,eti wabaya we2u ni hawa wakulima!
umeonaa?enhe!mimi nashangaa mnawapa promotion ya kiboya hawa masoro redio yenyewe imejaa mashoga na watangazaji wanaliwa kama mboga au kibonde anavyosambasa ngomaa mtaani ananyani hatumuoni-verse za sugu alivyowadis hawa maboya na masoro