Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 505
- 854
Kushindwa kutamka sauti fulani kunatokana na athari ya lugha ya kwanza ya mtu au mazingira na si suala la kuiga kama unavyotaka kutuaminisha. Fonetiki na fonolojia hazisemi hivyo.Wewe hujui kama watu wanaadapt kutumia hizo R na L kutokana na interaction na wanaotumia hizo R na L kimakosa