Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 505
- 854
Hujui unachokisema kabisaNi ushamba fulani hivi ambao unawasumbua wengi
Hujui unachokisema kabisaNi ushamba fulani hivi ambao unawasumbua wengi
Kuhusu L na R watu wa Pwani nao wanaogelea humohumo. Labda umkute Mswahili ambaye Kiswahili chake hakina mafungamano na Kizaramo,Kikwere,Kizigua, Kindengereko n.k.Ngoja tuache wabara wagombane hamna wanachojua hapo kweny lugha kazi kuweka ukabila mbele
Kuna moja ana masters ila meseji kama mtoto anavyoandika
Kuhusu L na R watu wa Pwani nao wanaogelea humohumo. Labda umkute Mswahili ambaye Kiswahili chake hakina mafungamano na Kizaramo,Kikwere,Kizigua, Kindengereko n.
Sasa shida yako huna data za kutosha. Wewe unaongea kiujumla tu. Nimekupa mifano ya makabila yenye shida hiyo, ndiyo maana unaona sikutaja wadigo. Pwani yenye shida ni maeneo hayo niliyotaja. Sijataja yote ,hata hivyo.Nimekaa Tanga sijawai kuona izo mambo kabisa ila watu wa bara nimeona sana nisema ukweli sijawai ona mdigo anachanganya izo mambo wanaongea kiswahili safi
ChaSasa shida yako huna data za kutosha. Wewe unaongea kiujumla tu. Nimekupa mifano ya makabila yenye shida hiyo, ndiyo maana unaona sikutaja wadigo. Pwani yenye shida ni maeneo hayo niliyotaja. Sijataja yote ,hata hivyo.
Bara pia si wote. Wachaga hawana shida hiyo. Huwezi kuta mchaga anachanganya R na L.
Sababu kubwa ni lugha za asili. Kama lugha yako ina R pekee,ukija kwenye Kiswahili utachanganya maana utakutana na L pia. Ukiwa na L pekee pia ni hivyohivyo.
Nimekaa na wachaga kiswahili hawajui vizuri huwezi fananisha na wazaramo ndugu yanguSasa shida yako huna data za kutosha. Wewe unaongea kiujumla tu. Nimekupa mifano ya makabila yenye shida hiyo, ndiyo maana unaona sikutaja wadigo. Pwani yenye shida ni maeneo hayo niliyotaja. Sijataja yote ,hata hivyo.
Bara pia si wote. Wachaga hawana shida hiyo. Huwezi kuta mchaga anachanganya R na L.
Sababu kubwa ni lugha za asili. Kama lugha yako ina R pekee,ukija kwenye Kiswahili utachanganya maana utakutana na L pia. Ukiwa na L pekee pia ni hivyohivyo.
Wewe hujui kama watu wanaadapt kutumia hizo R na L kutokana na interaction na wanaotumia hizo R na L kimakosaHujui unachokisema kabisa
Siyo kweli hata kidogo. Ni kilaza tu atakayesema namna lugha inavyoandikwa siyo muhimu bali muhimu ni kuelewana. Unasomaje shule kuanzia Chekechea mpaka Chuo Kikuu halafu hujui kutofautisha kuandika ''baridi'' na ''balidi''? Haya ni maneno mawili tofauti kabisa na ni lazima yaandikwe kwa ufasaha.cha muhimu tuanelewana basi ...
hayo mengine ni mbwembwe tu
Kuna mambo mawili ambayo watu wanachanganya. Matamshi vs Maandishi. Mtu anapokosea matamshi hili angalau siyo baya kwani lugha mama inaweza kuathiri namna mtu anavyotamka maneno. Lakini kwa nini mtu ashindwe kuandika wakati ametumia muda mrefu shuleni kujifunza kuandika? Kwani shuleni siku hizi hawafundishi kuandika? Mbona zamani spelling za maneno zilikuwa ni kitu muhimu sana na karibu wanafunzi wote walikuwa wanamaliza huku wakijua kuandika maneno kwa ufasaha? Unasomaje miaka zaidi ya 15 lakini unapoamaliza unashindwa kutofautisha kuandika gari na gali?Nimekaa na wachaga kiswahili hawajui vizuri huwezi fananisha na wazaramo ndugu yangu
Kama wewe mchaga naona tutabishana maana unaleta ujuaji kila sehemu lugha kifupi hamjui ulisikia mchaga na kiswahili wapi na wapi
Nimekuelewa nilikuwa na jamaa alikuwa anatokea morogoro mwanae fatuma anaitwa fyatuma lakini anaandika fatumaKuna mambo mawili ambayo watu wanachanganya. Matamshi vs Maandishi. Mtu anapokosea matamshi hili angalau siyo baya kwani lugha mama inaweza kuathiri namna mtu anavyotamka maneno. Lakini kwa nini mtu ashindwe kuandika wakati ametumia muda mrefu shuleni kujifunza kuandika? Kwani shuleni siku hizi hawafundishi kuandika? Mbona zamani spelling za maneno zilikuwa ni kitu muhimu sana na karibu wanafunzi wote walikuwa wanamaliza huku wakijua kuandika maneno kwa ufasaha? Unasomaje miaka zaidi ya 15 lakini unapoamaliza unashindwa kutofautisha kuandika gari na gali?
Acha ukumbwiga wewe. Tunazungumzia tatizo la R na L ,hatuzungumzii Kiswahili kwa ujumla. Kuwa makini,kama umefumaniwa,subiri hofu ikuishe ndo uchangie mada kama hizi. Hii si singeli nduguNimekaa na wachaga kiswahili hawajui vizuri huwezi fananisha na wazaramo ndugu yangu
Kama wewe mchaga naona tutabishana maana unaleta ujuaji kila sehemu lugha kifupi hamjui ulisikia mchaga na kiswahili wapi na wapi
Hilo la kusema afadhali kukosea X au Y ni mtazamo ninadhani. Mimi ninaona kote ni shida. Maana maandishi ni kopi ya matamshiKuna mambo mawili ambayo watu wanachanganya. Matamshi vs Maandishi. Mtu anapokosea matamshi hili angalau siyo baya kwani lugha mama inaweza kuathiri namna mtu anavyotamka maneno. Lakini kwa nini mtu ashindwe kuandika wakati ametumia muda mrefu shuleni kujifunza kuandika? Kwani shuleni siku hizi hawafundishi kuandika? Mbona zamani spelling za maneno zilikuwa ni kitu muhimu sana na karibu wanafunzi wote walikuwa wanamaliza huku wakijua kuandika maneno kwa ufasaha? Unasomaje miaka zaidi ya 15 lakini unapoamaliza unashindwa kutofautisha kuandika gari na gali?
Ndugu yangu hebu tufikirie kwa mapana na marefu. Nakuhakikishia kuwa kujifunza lugha ngeni mara nyingi ni lazima kunakuwa na hitilafu kwenye matamshi. Kuna lugha kama kifini nakuambia ukijifgunza ukubwani kutamka baadhi ya maneno kama inavyotakiwa hutaweza. Kwa upande wa kiswahili tukubali kuwa japo ni lugha ya taifa lakini kuna wengi wanajifunza ukubwani kwani vijijini hakitumiki sana. Na ukishazoea matamshi fulani ni vigumu kurekebisha. Ndiyo maana mpaka sasa mhindi akijifunza kiingereza utamjua kutokana na matamshi. Hivyo hivyo mzungu kwa kiswahili.Hilo la kusema afadhali kukosea X au Y ni mtazamo ninadhani. Mimi ninaona kote ni shida. Maana maandishi ni kopi ya matamshi
Ukimwambia mtu "Kwa jiLani kuna kaLamu iliyohudhuriwa na watu wengi" haijalishi uwe umeandika au umetamka utaleta shida. Kumbe ungeandika au ungetamka 'kaRamu' mambo yangeenda sawa.
Sasa njnashindwa kuona nafuu iwapi wakati kote,matamshi na maandishi yaweza leta mtafaruku.
Toa uthenge wako kuwa na adabu mbwiga aliyekuzaa mbwa jibu kwa adabu umesikia usilete ushamba unaambiwa ukweli wanachanganya pia jamaa aliadika alifu sijui ndo arifuAcha ukumbwiga wewe. Tunazungumzia tatizo la R na L ,hatuzungumzii Kiswahili kwa ujumla. Kuwa makini,kama umefumaniwa,subiri hofu ikuishe ndo uchangie mada kama hizi. Hii si singeli ndugu
Sina maslahi ya Mzaramo wala ya Wachaga. Ninawajadili wote kwa lengo la kujifunza.
Kwanza nikuelekeze kitu,kujua ama kutojua Kiswahili si dhambi. Halafu, hapa hatujadili Kiswahili kwa ujumla,tunajadili tatizo la R na L ambalo lipo kisayansi. Lina majibu yake kitaalamu. Kama lugha yako haina moja ya hizo sauti lazima utapata shida ukikutana na lugha ambayo inazo zote mbili,mfano ,Kiswahili. Wachaga wanazo hizo sauti mbili, hawapati shida nazo kwenye Kiswahili. Ninaweza pia kujadili changamoto wanazokumbana nazo Wachaga wanapozungumza Kiswahili, lakini, haikuwa sehemu ya mjadala. Mjadala wetu ni R na L.
Aidha, uache ubongolala. Lugha za mwambao, Kizaramo, Kikwere n.k. si Kiswahili, ndiyo maana zikawa lugha zinazojitegemea. Kwahiyo, kuna maeneo na wao wanatofautiana na Kiswahili. Na wao wanapata shida ikiwemo R na L.
Kama huna akili za skunk utaelewa,kama umekaa kubishana mradi tu ushinde endelea na ukum... wako.
Sasa wewe ubishane na mimi kwa akili gani ulivyokuwa nayo kilaza mtupu shobo kibao ukweli si ndo huo una elimu gani hyo ya kuiba mitihani ndo uje bishanaAcha ukumbwiga wewe. Tunazungumzia tatizo la R na L ,hatuzungumzii Kiswahili kwa ujumla. Kuwa makini,kama umefumaniwa,subiri hofu ikuishe ndo uchangie mada kama hizi. Hii si singeli ndugu
Sina maslahi ya Mzaramo wala ya Wachaga. Ninawajadili wote kwa lengo la kujifunza.
Kwanza nikuelekeze kitu,kujua ama kutojua Kiswahili si dhambi. Halafu, hapa hatujadili Kiswahili kwa ujumla,tunajadili tatizo la R na L ambalo lipo kisayansi. Lina majibu yake kitaalamu. Kama lugha yako haina moja ya hizo sauti lazima utapata shida ukikutana na lugha ambayo inazo zote mbili,mfano ,Kiswahili. Wachaga wanazo hizo sauti mbili, hawapati shida nazo kwenye Kiswahili. Ninaweza pia kujadili changamoto wanazokumbana nazo Wachaga wanapozungumza Kiswahili, lakini, haikuwa sehemu ya mjadala. Mjadala wetu ni R na L.
Aidha, uache ubongolala. Lugha za mwambao, Kizaramo, Kikwere n.k. si Kiswahili, ndiyo maana zikawa lugha zinazojitegemea. Kwahiyo, kuna maeneo na wao wanatofautiana na Kiswahili. Na wao wanapata shida ikiwemo R na L.
Kama huna akili za skunk utaelewa,kama umekaa kubishana mradi tu ushinde endelea na ukum... wako.
wewe unachoona ni fasaha mimi naona umekosea sasa hapo ndio utajiongezaSiyo kweli hata kidogo. Ni kilaza tu atakayesema namna lugha inavyoandikwa siyo muhimu bali muhimu ni kuelewana. Unasomaje shule kuanzia Chekechea mpaka Chuo Kikuu halafu hujui kutofautisha kuandika ''baridi'' na ''balidi''? Haya ni maneno mawili tofauti kabisa na ni lazima yaandikwe kwa ufasaha.
Hatuzungumzii ugumu au urahisi ninadhani. Tunazungumzia usahihi. Mimi nikizungumza Kiha kibovu kwakuwa ni mgeni wa lugha hiyo,hakuhalalishi makosa yangu.Ndugu yangu hebu tufikirie kwa mapana na marefu. Nakuhakikishia kuwa kujifunza lugha ngeni mara nyingi ni lazima kunakuwa na hitilafu kwenye matamshi. Kuna lugha kama kifini nakuambia ukijifgunza ukubwani kutamka baadhi ya maneno kama inavyotakiwa hutaweza. Kwa upande wa kiswahili tukubali kuwa japo ni lugha ya taifa lakini kuna wengi wanajifunza ukubwani kwani vijijini hakitumiki sana. Na ukishazoea matamshi fulani ni vigumu kurekebisha. Ndiyo maana mpaka sasa mhindi akijifunza kiingereza utamjua kutokana na matamshi. Hivyo hivyo mzungu kwa kiswahili.
Ulidhani huu ni ushabiki kama wa mpira nini. Sasa kasome ,hili si suala la Simba na Yanga,ni sayansi hiiToa uthenge wako kuwa na adabu mbwiga aliyekuzaa mbwa jibu kwa adabu umesikia usilete ushamba unaambiwa ukweli wanachanganya pia jamaa aliadika alifu sijui ndo arifu