BIG THINKER
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 680
- 1,420
Kama kichwa cha habari kinavyosema.
Nitaandika kwa ufupi sna Ili mnielewe.
Mfano kuna kabila haliwezi kutamka herufi h, kuna kabila lingine hawajui tofauti ya r na l, sasa hawa watu siku uwaweke kwenye jopo la kutengeneza maneno ya Kiswahili unajua nini kitatokea!?
Mbaya zaidi kuna wakati Maprofesa wote wanatokea kabila moja hapo ni kuweka maneno yao tu.
Mfano neno "Akili" linatokana na neo "Hakili" kwa Sababu wakati hili neno linawekwa kwenye kamusi Kuna kabila moja tu la Maprofesa walikuwa hapo wakapitisha, lakini ukweli ni kutokana na lugha mama zao.
Kipindi tunasoma miaka hiyo neno lililokuwa linatumika ni "Hakili" lakini baada ya Maprofesa wa kabila hilo kukaa wakatuletea neo "Akili".
Acha maisha yaendelee.
Nitarudi.......