Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,816
- 71,263
Mfano wa kijinga na maelezo ya kijinga kabisa.imagine una watoto watano, mtoto wa kwanza umempeleka st.marry's international school, wa pili umempeleka shule ya msingi ilala kikaangoni pale kajambanani, mtoto mwignine umempeleka kijijini kwa bibi akasome huko anatembea ila viatu, mwingine umempeleka kwa shangazi yake matombo morogoro kijijijni hadi amesahau kama huwa kuna chai/breakfast hapa duniani, kwani anaamkia ugali asubuhi....ikatokea mtoto yule wa St. marrys anagoma ati kwanini humnunuliii viatu vipya, anagoma pia kula wali na maharage anataka samaki na nyama ya kuku kila siku.....hapohapo wale watoto wengine wasio hata na viatu wapo tu wanashindwa hata pa kuanzia kwasababu UMESHATANGAZA KWA WATOTO WOTE KUWA HOME HAPA HAKUNA HELA, HIVYO TUTAANZA KULA DAGAA MTINDO MMOJA NA ALIYE NA VIATU AU NGUO AZITUNZE KWANI HUTAWANUNULIA KWA MUDA MREFU HADI UPATE HELA, mara mtoto yule wa st. mary]s anagoma kwenda shule na anaanza kuvunjavunja vyombo kabatini, hapohapo na wale wa kijijini ambao hawana hata viatu au nguo nzuri au shule nzuru kama ya yule wa st. marrys wanatangaza kuwa basi na sisi tutaanza fujo ili baba utuhududmie kama unavyomhudumia huyu mwenzetu wa st. marrys...WEWE KAMA BABA UTAFANYA NINI?....kama una akili, cha kwanza ni kumtoa yule wa st. marys aende shule ya bei rrahisi, alafu ile balance inayobaki baada ya kumhamisha shule utawaleta wale toka kijijini na wasome shule ya kawaida lakini ya afadhali...pia utaanza kuwapikia na msosi mzuri walau mara mbili kwa wiki etc na nguo utawanunulia....hivi ndivyo ilivyo picha ya madoctor, ambao akimaliza tu degree akianza kazi anapata laki tisa...mwalimu anapata laki tatu, polisi laki mbili na nusu....hivi madoctor wanaakili kweli?
USALAMA WA TAIFA UKO WAPI? KWANINI HIVI VINYANGARIKA VINASUMBUA NCHI NA NINYI MMEKAA KIMYAAAA?