RUV ACTVIST.
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 472
- 110
Nape kama kweli unamwogopa mungu nijibie maswali haya, ni mara ya kwanza serikali kupoteza watu wanaoipinga? Haya hili la Ulimboka, serikali ilitangaza kuwafuatilia madaktari hasa viongozi kila wanapokwenda, wanazungumza na nani na nini, kwa nini basi wasijue wakati huo Ulimboka alitekwa na nani? haya, amefikishwa police post kwa nini hazikuchuliwa hatua za dhalula kumpeleka hospitali? Liwalo na liwe manake nini? kwa nini spika hataki lijadiliwe bungeni kwa visingizio visivyo vya msingi? Eti kesi ipo mahakamani, iweje basi madaktari wafukuzwe ili hali kesi ipo mahakamani? hukumu yenu ipo hapahapa duniani Serikali ya CCM ni wauwaji, hawapendi changamoto.Unahakika na usemayo?!!?? Unawajua waliomteka na kumtesa Ulimboka?! Tuje kuchukua ushahidi?! Kwanini tusiamini kuwa mmefanya hivyo nyie kwasababu za kisiasa?!! Mwogopeni Mungu!! Uzuri hakuna siri soon itajulikana!!