Hivi profession ya Nape ni nini?!

images

PENGINE HILI NI JIBU
 
Attachments

  • CCM.jpg
    CCM.jpg
    12.9 KB · Views: 96
Andrews,
Ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa CCM kutotokea! Hili sina msaada kwao! Hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!Ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!

Swala la madaktari!!
Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.

Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/

MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.
Kwa serikali hii kiziwi,ya kifisadi,ya kisanii chini ya CCM ambayo inawalisha wananchi ahadi hewa za majukwaani zisizotekelezeka ulitegemea madaktari watumie njia ipi?Wametoa muda wa kutosha kwa serikali kutatua tatizo hili lakini tulioshuhudia ni danadana zisizo na mwisho.Madaktari ni watu na akili zao sio hao wakulima na walalahoi mnao wadanganya kwa wali,T_shirt,kofia na khanga.Mfano wa madaktari ni wa kuigwa kuifundisha serikali na CCM kwa vitendo na sio katika majukwa na wakati wa uchaguzi.Nape unalielewa hilo usingoje kutuambia ukweli baada ya kutimka kutoka CCM,mfano unaweza kutueleza zoezi la kijivua gamba limeishia wapi?Kwa njia hiyo hiyo ndio mlivyotaka kutatua tatizo la madaktari.MGOMO WA MADAKTARI MCHAWI MTAFUTE CCM NA SERIKALI DHAIFU NA RAIS DHAIFU.MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Kazi ya Nape inafahamika wazi, itikadi na uenezi katika chama ambacho hakina 'itikadi' tena. Matokeo yake sasa amebaki na kazi moja tu ya 'kueneza' kila linamwijia kichwani mwake.
 
niseme ukweli tu toka moyoni, ni bahati mbaya mimi sikupata nafasi ya kumteka dr. ulimboka, lakini kama ningekuwa nimemteka mimi, kitu cha kwanza:
  1. ningemla tigo hata kama sijawahi kula tigo mwanadamu yeyote tangu nizaliwe
  2. ningempiga bunduki ya kichwani au kifuani wala si mguuni
  3. ningemrushia nyama yake aliwe na kunguru wa zanzibar.
Huyu jamaa ana kiburi sana alafu ana fujo. MGOMO WAKE ULE WA KWANZA NUSURA AMUUE MKE WANGU ALIPOKUWA ANATAKIWA KUJIFUNGUA KWA OPERATION,...NILIHANGAIKA AJABU, NA SITAKUJA NISAHAU MAISHA YANGU YOTE KWA WAKATI MGUMU NILIOKUWA NAO ambao yeye kama mwenyekiti wa hawa madaktari uchuro alisimamia mgomo. sijui ni kwanini wamemuacha hai, watu kama hawa kule nchi za wenzetu wanapotea hata hawajulikani kama wako msitu wa pande au mabwe pande, futilia mbali hivi vijitu vinavyosumbua nchi...

Na mimi niseme kidogo...

1- Mtu mwenye akili kama zako ni Profesa maji marefu na angefaa kukula Tigo x 3 kila siku kama vidonge vya Hospitali,
2- Pia ingefaa upigwe bunduki ndani ya masaburi yako,
3- Na utakapokuwa mfu basi mwili wako wakajifunzie wanafunzi wa udaktari
 
Andrews,
Swala la madaktari!!
Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.

Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/

MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.

Kwa nini haya maswali usiyageuza na kuiliza serikali walikuwa wapi hadi hali inafikia hapa , na kwa nini wanaendeleza siasa katika afya za watu ,
Hata kufanya any relevant comprimise na Drs wameshindwa nini ?
kwa nini kodi ya mwananchi kipaumbele chake ni kuwatunza wanasiasa na waheshimiwa badala ya huduma za kijamii na miradi ya maendeleo ( refer to bajeti yetu )
kama wameona ukata umezidi mbona inaachia maliasili zetu ovyo ovyo ?
 
kaka nimeipenda point namba 4, kumbe serikali juzi imekopa hela kwa lowasa? halafu mkiitwa dhaifu mnakunja midomo! HIZO HELA ALIZOWAKOPESHENI LOWASA , MIMI NINGEKUWA RAIS ,NAZITAIFISHA TENA ANATAKIWA ARUDISHE NA RIBA KWA KUWA ALIZIPATA KWA UFISADI
 
Andrews,
Ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa CCM kutotokea! Hili sina msaada kwao! Hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!Ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!

Swala la madaktari!!
Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.

Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/

MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.
Nape kwanza nakupa pongezi kwa kujitokeza kwako mara kwa mara humu jamvini,umekua na tofauti na magamba wenzako ambao wanakaa kimya.Nape,inawezekana kweli umesoma lakini bado haujaelimika kwani kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuelimika.Hata mimi mara nyingi nimekuwa najiuliza kama kweli hiyo post uliyo pata imetokana na uwezo wako wa elimu au ni fadhili za ccm kwa marehemu baba yako,maana hii nchi ni ya kupeana tu.

Ebu fuata usemi wa wana falsafa usemao ukitaka kuwa mtaalam kaakimya.Nape, kabla ya kuongea chochote chukua muda wa kukitafakari kwanza ndipo useme,wewe uwa unakurupuka sana katika maongezi yako wakati wewe ni kiongozi mkubwa na watu wanatafakari unachosema.

Na kutokana na hilo watu(sio mimi) wanakuita vuvuzela.
Suala la madaktari wewe unalifahamu vizuri na jinsi serikari yako ilivyopuuza sina sababu ya kurudi,na sisi madaktari tunasikitika saaaana kwa jinsi wagonjwa wanavyoangaika na hatukupenda kuwafanja wagonjwa fimbo ya madai yetu ila serikali ndio imetufikisha hapa.
 
Andrews,
Ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa CCM kutotokea! Hili sina msaada kwao! Hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!Ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!

Swala la madaktari!!
Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.

Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/

MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.
Kwenye swala la Id nitaendelea kukuona ni mjinga unaposema kuwa umethubutu kuweka real id.
Wewe uliyoweka id yako ya ukweli lakini mambo yakibadilika unaikana (refer matokeo ya kura za uchaguzi wa 2010) na mimi mwenye id fake ni nani mwenye tija??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Labda alisoma kozi moja na Prof. Maji Marefu!
yuuuuuuuuuuu, ile professional nouma,unadhani ukikimbizana na majini mchezo ?? Mtumpole huyu mr Nepi yeye mwenyewe hajui anatetea nini ndo matatizo ya wanasiasa wengi wa siku hizi wana falsafa za kuwaongoza wao wenyewe, hawaamini chochote zaidi ya kile amabcho mfumo umepandikiza vichwani mwao
 
Last edited by a moderator:
ndugu yangu nqpe kumbe bado hujui siri za magamba japo upo mstari wa kukashifu madaktari, magamba hawana upendo wa kweli kaka, usione wamekupa shangingi ukajiona wewe ni nambari wani wa ukweli, si kweli! wakipoteza maslahi na wewe watakubadilikia na hatakuba kukufanyia zaidi ya yaliyomkuta shujaa ulimboka. inasemekana hata marehemu babako akifufuka leo kamwe hawezi kubaki magamba kwa yaliyomkuta. kaulize kolimba family, kwa taarifa yako hata wewe wanakutumia kama mshumaa.so kuwa makini na lugha zako
 
andrews,
ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda ccm wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa ccm kutotokea! Hili sina msaada kwao! hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na id zao halisi...sitishwi wala kubabaishwa na vivuli vya watu!!

swala la madaktari!!
sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. Nimesoma hili silionei haya, maana nimesoma si kwa kubahatisha, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.

Nilichouliza juu ya madaktari, je hakuna njia nyingine ya kudai masilahi yao mpaka kwa kuwaadhibu waliotoa pesa zao kwa njia ya kodi wao wakasoma mpaka kufika hapo? Je ingekuwa ni wazazi wao kwa mfano baba au mamaako wako tayari wawafie mikononi kisa kuna masilahi wanadai kwa serikali??
naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/

mnaotaka tujadili karibuni, wale wa matusi na kejeli sina muda mchafu wa kuwajibu.

eti nape inasemekana kuwa baba yako ni mark mwandosya na sio marehemu brg. Nnauye. Embu tufahamishe. Inasemekana hata marehemu mwenyewe nnauye alijua kabisa kuwa wewe sio mwanae bali ni wa prof mark mwandosya..
 
imagine una watoto watano, mtoto wa kwanza umempeleka st.marry's international school, wa pili umempeleka shule ya msingi ilala kikaangoni pale kajambanani, mtoto mwignine umempeleka kijijini kwa bibi akasome huko anatembea ila viatu, mwingine umempeleka kwa shangazi yake matombo morogoro kijijijni hadi amesahau kama huwa kuna chai/breakfast hapa duniani, kwani anaamkia ugali asubuhi....ikatokea mtoto yule wa St. marrys anagoma ati kwanini humnunuliii viatu vipya, anagoma pia kula wali na maharage anataka samaki na nyama ya kuku kila siku.....hapohapo wale watoto wengine wasio hata na viatu wapo tu wanashindwa hata pa kuanzia kwasababu UMESHATANGAZA KWA WATOTO WOTE KUWA HOME HAPA HAKUNA HELA, HIVYO TUTAANZA KULA DAGAA MTINDO MMOJA NA ALIYE NA VIATU AU NGUO AZITUNZE KWANI HUTAWANUNULIA KWA MUDA MREFU HADI UPATE HELA, mara mtoto yule wa st. mary]s anagoma kwenda shule na anaanza kuvunjavunja vyombo kabatini, hapohapo na wale wa kijijini ambao hawana hata viatu au nguo nzuri au shule nzuru kama ya yule wa st. marrys wanatangaza kuwa basi na sisi tutaanza fujo ili baba utuhududmie kama unavyomhudumia huyu mwenzetu wa st. marrys...WEWE KAMA BABA UTAFANYA NINI?....kama una akili, cha kwanza ni kumtoa yule wa st. marys aende shule ya bei rrahisi, alafu ile balance inayobaki baada ya kumhamisha shule utawaleta wale toka kijijini na wasome shule ya kawaida lakini ya afadhali...pia utaanza kuwapikia na msosi mzuri walau mara mbili kwa wiki etc na nguo utawanunulia....hivi ndivyo ilivyo picha ya madoctor, ambao akimaliza tu degree akianza kazi anapata laki tisa...mwalimu anapata laki tatu, polisi laki mbili na nusu....hivi madoctor wanaakili kweli?

USALAMA WA TAIFA UKO WAPI? KWANINI HIVI VINYANGARIKA VINASUMBUA NCHI NA NINYI MMEKAA KIMYAAAA?

Mkuu, pole sana. Kwa mfano huu, wewe hustahili hata kuitwa baba. Labda kama hawa watoto umepewa, hukuwazaa wewe.
Baba mwenye akili zake timamu hawezi kuwagawa watoto na kuwahudumia kwa stahili hiyo, kwa ufupi mfano wako ni irrelevant.
Kuhusu usalama wa taifa, kazi yao siyo kuua na kutesa kama unavyotaka kuwaaminisha watu, bali ni kufichua yaliyofichika kwa usalama na manufaa ya wananchi na nchi ya TZ.
 
Andrews,
Ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa CCM kutotokea! Hili sina msaada kwao! Hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!Ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!

Swala la madaktari!!
Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.

Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/

MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.

Umeulizwa kiwango cha Elimu yako au ndo unadhihilisha hata darasani hukufika? Au unasubiri upewe kama kina fulani ambao mnawaita wana PhD akati hata Doctrate proposals hawajui zikoje? Na ana 2.20 GPA hahahahaaaaa kweli kipofu anamuongoza mwenye Chongo.
 
Nape naamini mtu yeyote anayesoma ulichosema akiwa na akili huru kabisa, atakuelewa. Lakini wenye akili mateka hawakuelewa. Nape fanya kazi yako, na simamia kwa nguvu zote unaloona ni sahihi. Pia tunatakiwa kutambua kuwa Nape ni binadamu kama alivyo mtu mwingine yeyote. Anaweza kuwa sahihi na wakati mwingine akakosea pia. Akili huru huangalia yote kwa mtazamo chanya, na pale penye makosa hutoa wazo mmbadala ua mtazamo sahihi kama aonavyo yeye.
 
Nape! honestly binafs mwanzo nilikuheshim sana kwa hoja na changamoto ulizokuwa unatoa kwa faida yako na taifa kwa ujumla ila kwa sasa umebadilika sana umekuwa mtu wa matus kejel kwenye masuala ya msing sijui reasons behind, ila ndan ya ccm ww ndo mtu makin uliyebakia hvyo bas nakusih usijiharibie sifa na heshima yako kwa ya kijinga yasiyokuwa na tija kwako na taifa kwa ujumla. mfano unaposema madaktar hawajaona njia nyingne mbadala tofaut na mgomo kwa uelewa wako na viongoz wa chama chako ni watu gan ndan ya nch hii walishawah kutumia diplomas wakapyoata suruhu ya matatizo yao? au labda ningekuomba unipe japo njia moja ambayo unafikir ni mbadala tofaut na hyo waliyoitumia. plz braza try to think out side the box usijisahau kias hcho ndg yang sababu unatembelea gar yenye kiyoyoz mda wote, jarib kuuvaa uhusika wa madaktar ukianzia na msoto wa shule yao ilivyo pia na mazingira wanamofanyia kaz. lastly nakusih usijisahau na epuka kutoatoa matamko yasiyokuwa na tija maana Tanzania ya leo siyo ile ya miaka ya tisin. watanzania tunaona sasa.
 
eti nape inasemekana kuwa baba yako ni mark mwandosya na sio marehemu brg. Nnauye. Embu tufahamishe. Inasemekana hata marehemu mwenyewe nnauye alijua kabisa kuwa wewe sio mwanae bali ni wa prof mark mwandosya..

Mod, sasa JF imegeuzwa kuwa kitu gani tena - hebu tufafanulie Rules zake zinasemaje? Aipendezi kujadili mambo ya watu binafsi iwe ni ya kweli au UZUSHI, mimi nafikili topic kama hizi zipelekwe kwenye magazeti ya SHIGONGO. Kama una hoja za kumuhuliza zinazo husu TAIFA letu fanya hivyo lakini sio mambo ya kutaka kumdhalilisha! Tuwe wakweli, je ingekuwa ni wewe au jamaa yako kahuliza kitu kama hicho ungejisikiaje????? tuwe na staha (civil) jamani - ungekuwa mungwana basi unge-PM mkayamaliza huko huko bila ya ku-involve public. Sina shaka nime eleweka.
 
Andrews,
Ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa CCM kutotokea! Hili sina msaada kwao! Hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!Ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!

Swala la madaktari!!
Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.

Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/

MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.

Umetoka nje ya mada kaka....tunataka professional yako tafadhali!!!!

Unaona aibu ya nini Kama kweli umeandika umesoma??
Tueleze ulianza lini....wapi, ukamaliza lini...na unahodhi nini katika Elimu, pia KWA NYEONGEZA....CCM ilikuchagua hapo kwa sifa na vigezo gani kulinganisha na wengine??

Tafadhali
 
Mod, sasa JF imegeuzwa kuwa kitu gani tena - hebu tufafanulie Rules zake zinasemaje? Aipendezi kujadili mambo ya watu binafsi iwe ni ya kweli au UZUSHI, mimi nafikili topic kama hizi zipelekwe kwenye magazeti ya SHIGONGO. Kama una hoja za kumuhuliza zinazo husu TAIFA letu fanya hivyo lakini sio mambo ya kutaka kumdhalilisha! Tuwe wakweli, je ingekuwa ni wewe au jamaa yako kahuliza kitu kama hicho ungejisikiaje????? tuwe na staha (civil) jamani - ungekuwa mungwana basi unge-PM mkayamaliza huko huko bila ya ku-involve public. Sina shaka nime eleweka.

Mi sijaona kama kuna tatitzo!!!! Kumuuliza mtu kuwa nahisi wewe baba yako ni fulani ni kosa?? Mbona wapo wengi tu wanaotumia majina ya koo zingine ilihali sio wa uzao huo???

Acha kujifanya Desmond Tutu wewee!!!!

Atoe majibu....

"""mtu akikuita mjinga nawe muite mjinga.....ugomvi utaisha"""
 
Andrews,
Ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa CCM kutotokea! Hili sina msaada kwao! Hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!Ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!

Swala la madaktari!!
Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.

Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/

MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.
Nakubaliana na wewe kwa hili "Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?"

Siafiki mgomo hata mara moja, watanzania wanazidi kufa. Napata uchungu ninapozidi kuona wanazidi kufa.
 
Back
Top Bottom