ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Fast Jet ndiyo habari ya mujini
Hivi precisionair bado ipo? Mbona sijawahi hata kuiona parking hahaha.
Kaka wamekufanya mmasai kama OLESAIDIMU. Mpango mzima ni fwastijeti aisee
Fast Jet ndiyo habari ya mujini
Hiyo damage si wakati wote unaweza kuilipa hata kama ni kwa approximation, hivi ulishajiuliza;
1. Unaenda msibani
2. Unaenda katika interview ya kazi ya maana
3. Unaunganisha safari ya nje
4. Una presentation ya kibiashara
5. Unaenda kufanya session na wanafunzi or so?
Mbaya zaidi inaweza kuwa safari isiyo ya kikazi halafu umebeba 'perishable' things na unaahirishiwa ndege kwa sababu za kijinga na vitu vyako kuharibika!
I wouldn't advise anyone to go for Precision Airline, yaani they are so not precise.
Nadhani NO SHOW Airliner wata-refund some amount
Ndo maana ukifile claim lazima damage iwe repaired.
Wakishindwa kwa njia za maongezi unawapeleka mahakamani ndo watalipa kwa njia ya mahakama na gharama za kesi juu
I personally had 8times bad experience with Precision air,
1. Hivi kila siku mimi niwe najaza hizo claims form?!
Mimi ni mmoja kati ya watu wangapi waliokuwa wanatumia Precision Air tuliopata usumbufu huo?
2. Kwanini kama shirika/kampuni msubiri kupelekwa mahakamani?
3. How do you "repair" important/official lost documents zilizopotea katika mizigo (tena una luggage tag)?
4. Hivi hauna kazi nyingine ya kufanya other than kufuatilia "kwa maongezi" juu ya usumbufu, upotevu uliosababishwa na shirika la ndege?
5. Kwa experience yako na mahakama za Tanzania(kwa kusikia au kuwa na kesi mahakamani), how fast mahakama zetu zinatoa hukumu?