Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,595
jamaniNahisi wanatumia kile kitu kilochokatazwa kutumiwa
Juzi tu hapa maeneo ya upanga police walikuwa wanamkimbiza bodaboda, mara ghafla wakafyatua risasi badala ya kumpata bodaboda ikampata mtoto mdogo akitoka shule
Kwny habar walisema wanachunguza chanzo cha tukio. Vp bodaboda aliwafnya nin mkuu mpk wakafyatua?Nahisi wanatumia kile kitu kilochokatazwa kutumiwa
Juzi tu hapa maeneo ya upanga police walikuwa wanamkimbiza bodaboda, mara ghafla wakafyatua risasi badala ya kumpata bodaboda ikampata mtoto mdogo akitoka shule
Polisi hawajui customer care
Nafikiri atakuwa alivunja sheria za barabarani alafu police wakamsimamisha akagoma kusimama, kwani wangechukua plate namba wasingempata baadaeKwny habar walisema wanachunguza chanzo cha tukio. Vp bodaboda aliwafnya nin mkuu mpk wakafyatua?
Kwaio sikuizi ukikimbia polisi barabaran lazma risas zilie?Nafikiri atakuwa alivunja sheria za barabarani alafu police wakamsimamisha akagoma kusimama, kwani wangechukua plate namba wasingempata baadae
Tena hilo neno customer care ni kama kukutanisha mbingu na ardhiPolisi hawajui customer care